figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 27,607
- 62,369
Weka na pichayo basi ukiwa umevaa hivi kuonyesha upendo wako kweli hapa! Au huyu ndo weye??!
Ukiwa mmajasiliamali lazima kuwa mbunifu sana ili kuvutia wateja.la sivyo utaishia kupiga miayo
Mtu kama huyu ukimwambia habari za muundo waserikali zinamhusu nini?
Kuna kichaa,mwendawazimu,chizi na punguani. Huyu anatatizo moja kati ya hayo.
Mnamshambulia vibaya bure lakini mi namsifu kwa mbinu hii ya kufanya biashara!! Kwa kuvaa hivi amekuwa kivutio hivyo anauza zaidi ya birika kumi kwa siku na sahani kibao za kashata. Mkija kushtuka ana maisha mengine nyie mtabaki na story alikuwa anavaa....!! Kaenda kwa mganga....!!! Blah blah kibao....!! Mjini shule.......!!
Kuna kichaa,mwendawazimu,chizi na punguani. Huyu anatatizo moja kati ya hayo.