Je, ni lazima Ukiipenda Yanga uichukie Simba?

chai ya rangi

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2026
Posts
1,041
Reaction score
3,091
Binafsi naipenda Simba na naipenda Yanga.

Mimi naona Yanga sio opposite ya Simba kwamba ukipenda moja unaichukia nyingine, bali Simba na Yanga zote ni timu za soka ambazo zinafanana uwezo kwa kiasi kikubwa na pia zinatokea sehemu moja kariakoo dar es salaam na zinacheza ligi moja.

Kama Ukiwa tabora unaweza kuipenda Simba na Tabora united, lakini ukiwa dar, utaipenda yanga na utaichukia simba hata ikicheza ba Tabora au Mbeya Citiy. je ni upungufu wa kufikiri na kuweka uhasimu mbele ?

Naikubali Israel na pia naikubali Iran. na vitu vingi ambavyo watu wanakua mahasimu ninawashangaa maana mimi naweza kuzikubali zote kwa pamoja
 
Mimi naipenda Yanga ila nature ya mashabiki wa Simba inafanya uanze kuona wana matatizo fulani. Haya yanatokana na ukishaanza ku address wewe ni shabiki wa Yanga labda katika ubishani fulani facts anazotoa ni zile za kukaririshwa na kina GB 64.
 
Mpira: Huwezi penda mshindani wako afanikiwe kwenye jambo lile lile mnaloshindania. Mnafiki tu ndo anaweza kuwa hivyo.

Nchi: Hazipaswi kushabikiwa. kinachotakiwa ni kupima nchi gani imekosea uikosoe na nchi ipi ipo sawa uisapoti.
 
Je kuna moja anakosea kila muda na mwingine yupo sawa kila muda ?
 
Mimi naipenda Uanga ila nature ya mashabiki wa Simba inafanya uanze kuona wana matatizo fulani. Haya yanatokana na ukishaanza ku address wewe ni shabiki wa Yanga labda katika ubidhani fulani facts anazotoa ni zile za kukaririshwa na kina GB 64.
Wewe mwenye comment hii ikiisoma Tena unaelewa ulichoandika?
 
Kwenye suala la mpira, basi tunasema wewe siyo shabiki wa mpira.

Kwenye mpira huwezi mpenda hasimu wako wa karibu hata siku moja.

Lakini hii chuki huwa haipo kwa watu individual,ni timu kwa ujumla siyo watu wa hiyo timu. Mtu akiwa nje ya majukumu ya kitimu hakuna shida kabisa.

Mtu awe shabiki damu damu wa R/ madrid halafu ana mapenzi sawa na Barca? Wewe ushaona wapi
 
Mimi naipenda Yanga ila nature ya mashabiki wa Simba inafanya uanze kuona wana matatizo fulani. Haya yanatokana na ukishaanza ku address wewe ni shabiki wa Yanga labda katika ubishani fulani facts anazotoa ni zile za kukaririshwa na kina GB 64.
Gb 64 ni aina ya watu ambao wametumia mpira kupata kipato
 
Mbona kile kikao cha wanaume agenda yao ilikuwa ni kujadili wanawake tu, in a negative way.
Ikijua sababu hizo utakuwa umejijibu
 
Kwenye suala la mpira, basi tunasema wewe siyo shabiki wa mpira.

Kwenye mpira huwezi mpenda hasimu wako wa karibu hata siku moja.

Lakini hii chuki huwa haipo kwa watu individual,ni timu kwa ujumla siyo watu wa hiyo timu. Mtu akiwa nje ya majukumu ya kitimu hakuna shida kabisa.

Mtu awe shabiki damu damu wa R/ madrid halafu ana mapenzi sawa na Barca?
Umemjibu vyema.
Mimi mwenyewe sijawahi kuona.😃😃
 
Back
Top Bottom