Hii sio haki

Hii sio haki

Watakua wale wa magroup ya malaya huko insta, ilishanikutaga hii, Niligoma kutuma elf tano akachukua picha yangu akaipiga bonge la bandiko "MALAYA WA INSTA'' kaniambia nisipotuma hiyo 5k anaipost huko insta, Mbona niliomba pooo!
Ndio mkomage kuokoteza malaya...lol😂
 
Inawezekana 4,800 Ya Mstaafu ikaonekana ndogo kwa maana vipato vyetu vinatofautiana, Ila tuachane na hcho kiasi tuzungumzie comitment ya huyo dada kwa Mstaafu. Kama mtu mmewasiliana na mkahama na server juu mkafikia makubaliano yenu nje ya Jf Halafu ghafla unakiuka makubaliano na kumpa block Juu huo sio Uungwana hata kidogo.
Kwa maana ilikua ni kias cha kumtaarifu tu nmeshindwa kuja kwa sababu fulan then maisha yaendlee, Why mtu aanike mawasiliano yenu humu Jukwan kwa gharama ya Tsh 4,800?
Hii ndio hoja ya msingi hapa
 
Hiyo siyo hela??
Ndiyo tabia yenu hii
tapatalk_1560276590971.jpeg
 
Back
Top Bottom