Hii sio haki

Inawezekana 4,800 Ya Mstaafu ikaonekana ndogo kwa maana vipato vyetu vinatofautiana, Ila tuachane na hcho kiasi tuzungumzie comitment ya huyo dada kwa Mstaafu. Kama mtu mmewasiliana na mkahama na server juu mkafikia makubaliano yenu nje ya Jf Halafu ghafla unakiuka makubaliano na kumpa block Juu huo sio Uungwana hata kidogo.
Kwa maana ilikua ni kias cha kumtaarifu tu nmeshindwa kuja kwa sababu fulan then maisha yaendlee, Why mtu aanike mawasiliano yenu humu Jukwan kwa gharama ya Tsh 4,800?
 
Anaesema hio 4,800 ndogo amrudishie mstaafu thread ifungwe.
 
Tulichat vizur PM na baadae tukahamia whatsapp hadi video call. Tukakubaliana nikakutumia nauli mpaka leo kutoka hapo maji matitu kuja hapa tabata unanizungusha Leo week ya nne. Tafadhali rudisha hela yangu la sivyo nitajitoa muhanga nianike chat zetu za PM hata nikipigwa ban najua nitarudi baada ya siku kazaa.

Najua juzi kati ulikuwa na birthday hadi humu jeiefu wakakupongeza. Kama uliongezea mahitaji ya sharehe yako mimi nataka pesa yangu.

UPDATE.
Naona amenitext whatsapp alipoona huu uzi baada ya kunibuloku kwa wiki tatu. Sasa nasema hivi, pesa arudishe na riba ya 50 pasenti. La sivyo nakuja kuanika chat zako za pm. Nimekubali kupigwa bani maana nitapigwa bani na iko siku nitaudishwa.

Pipoooooooozi
Mimi najitolea kurudisha hio 4,800/- kwa sharti moja. Nipe namba yake niendelee hapo ulipoishia.:):):)
 
Back
Top Bottom