Hii sio haki

Inawezekana 4,800 Ya Mstaafu ikaonekana ndogo kwa maana vipato vyetu vinatofautiana, Ila tuachane na hcho kiasi tuzungumzie comitment ya huyo dada kwa Mstaafu. Kama mtu mmewasiliana na mkahama na server juu mkafikia makubaliano yenu nje ya Jf Halafu ghafla unakiuka makubaliano na kumpa block Juu huo sio Uungwana hata kidogo.
Kwa maana ilikua ni kias cha kumtaarifu tu nmeshindwa kuja kwa sababu fulan then maisha yaendlee, Why mtu aanike mawasiliano yenu humu Jukwan kwa gharama ya Tsh 4,800?
Ila nanyi muache gubu chaaaah!!
 
Wanaume wa dar bhaaana mnatuchosha,na visket vyenu. 4800 ndio unalia mpaka unaanzisha na uzi? Kweli nimeamini wanaume wanaisha
 
Ushauri: Kama hauko tayari kupoteza nauli, ukiombwa nauli mwambie 'tumia yako ukifika nakurudishia na ya kurudia'
 
Back
Top Bottom