Mother Confessor
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 18,682
- 45,607
😆😆😆hata flat screen ina afadhali..chura hio...sura hata mbuzi anayo
😆😆😆hata flat screen ina afadhali..chura hio...sura hata mbuzi anayo
Ndio maana nasisi hatuwakubali...chaaa😂😂😂😂4800???Haya ndio mambo yanayo sababisha tukitongoza humu ndani tunakataliwa wallah...teh![]()
Picha yako kwenye avatar inajieleza. Siwezi kuweka picha ya Michael Ealy wakati nina sura kama Pogba.😆😆😆hata flat screen ina afadhali..
na wewe umezidi ubahili 4800/- unapiga kelele? ungeweka gari mafuta halafu patupu ungesemaje?!Nilimtumia 4800
Hivi kweli nauli ndio mtuanike hivi jamani khaaaahHa ha ha ha ha sasa hapo Gubu liko wapi wakat shida ni uaminifu tu



Mie sidhani shida ni nauli kwa maana hata kama angetumiwa laki as long as alishaamua kumdhulumu kwa kutokwenda asingekwenda vile vile,Hivi kweli nauli ndio mtuanike hivi jamani khaaaah![]()
na wewe umezidi ubahili 4800/- unapiga kelele? ungeweka gari mafuta halafu patupu ungesemaje?!
palipo ni mkusanyiko wa ana kwa ana ama wa kimtandao hayo hutokea so mi niongoni mwa malengo japo hayajaainishwaHv lengo la jf n watu kutongozana ama
Kama hutaki kudhalilishwa kwa nini uombe nauli sasahata petrol robo sipati jomoniiiii...cheeeiii....kwakweli hapana huu uzalilishaji kabisaa daaah!!!!
Ina maana huyo kwa avatar anafanana na ww???Picha yako kwenye avatar inajieleza. Siwezi kuweka picha ya Michael Ealy wakati nina sura kama Pogba.
Hivi kweli nauli ndio mtuanike hivi jamani khaaaah![]()
Niliyemuomba nauli aje atoe ushuhuda humu nayeye😂Kama hutaki kudhalilishwa kwa nini uombe nauli sasa
Ulipotelea wapi??Hadi nakumiss hivi jamanMimi mnoooo wifiii![]()


Wewe ndio umepotea wii...mwenzio hadi nimeingia top 5 ya kuwahi siti humu😂Ulipotelea wapi??Hadi nakumiss hivi jaman![]()
kwani alitaka umpe milioniiiii? hela hela lengo ilikuwa nauli, tena inatosha na nauli, maana toka maji matitu mpaka tabata haizidi buku 3000Ze heli mimi simjui na sijamupa hela yangu. Mm nataka hela yangu
Wewe ndio umepotea wii...mwenzio hadi nimeingia top 5 ya kuwahi siti humu![]()

















