Hii sio haki

Hii sio haki

Huyo demu nae sifuri... 4800 anakublock kabisa..

Ingekuwa 50K si ange deregister line kabisa..
 
Watakua wale wa magroup ya malaya huko insta, ilishanikutaga hii, Niligoma kutuma elf tano akachukua picha yangu akaipiga bonge la bandiko "MALAYA WA INSTA'' kaniambia nisipotuma hiyo 5k anaipost huko insta, Mbona niliomba pooo!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom