Hii sio haki

Inawezekana 4,800 Ya Mstaafu ikaonekana ndogo kwa maana vipato vyetu vinatofautiana, Ila tuachane na hcho kiasi tuzungumzie comitment ya huyo dada kwa Mstaafu. Kama mtu mmewasiliana na mkahama na server juu mkafikia makubaliano yenu nje ya Jf Halafu ghafla unakiuka makubaliano na kumpa block Juu huo sio Uungwana hata kidogo.
Kwa maana ilikua ni kias cha kumtaarifu tu nmeshindwa kuja kwa sababu fulan then maisha yaendlee, Why mtu aanike mawasiliano yenu humu Jukwan kwa gharama ya Tsh 4,800?
Kanali ni mjeshi na hili nadhani kwake ni suala la principle haijalishi kama pesa zingekuwa milioni moja au shilingi 10. Hataki kutapeliwa na kama maelewano yalikuwa ni hayo basi ni lazima yatekelezwe. Kama pesa ingekuwa ndogo hata huyo mpokeaji naona angeikataa...

Kanali mimi nimekuelewa sana
 
Kanali mzima umepigwa hela ya nauli tu unalia lia hivyo... halafu usipoweka screenshot za huo muamala unategemea tutakuamini vipi,?

Ila we mbwiga kweli khaa unaliaibisha jeshi letu
 
Back
Top Bottom