kanali mstaafu
JF-Expert Member
- May 17, 2015
- 4,318
- 4,115
- Thread starter
- #21
Ndio maana hakuja wenzako tunatuma elfu 30 au 40 au 50 inategemea na status yake
Sasa we we elfu 4800
Bola angesema haitoshi akairudisha tukaairisha byashala
Ndio maana hakuja wenzako tunatuma elfu 30 au 40 au 50 inategemea na status yake
Sasa we we elfu 4800
Kazaa = Kadhaa.Tulichat vizur PM na baadae tukahamia whatsapp hadi video call. Tukakubaliana nikakutumia nauli mpaka leo kutoka hapo maji matitu kuja hapa tabata unanizungusha Leo week ya nne. Tafadhali rudisha hela yangu la sivyo nitajitoa muhanga nianike chat zetu za PM hata nikipigwa ban najua nitarudi baada ya siku kazaa
Kazaa = Kadhaa.
hahahaaa.Tulichat vizur PM na baadae tukahamia whatsapp hadi video call. Tukakubaliana nikakutumia nauli mpaka leo kutoka hapo maji matitu kuja hapa tabata unanizungusha Leo week ya nne. Tafadhali rudisha hela yangu la sivyo nitajitoa muhanga nianike chat zetu za PM hata nikipigwa ban najua nitarudi baada ya siku kazaa.
Najua juzi kati ulikuwa na birthday hadi humu jeiefu wakakupongeza. Kama uliongezea mahitaji ya sharehe yako mimi nataka pesa yangu.




Demiss

Hv lengo la jf n watu kutongozana amaTulichat vizur PM na baadae tukahamia whatsapp hadi video call. Tukakubaliana nikakutumia nauli mpaka leo kutoka hapo maji matitu kuja hapa tabata unanizungusha Leo week ya nne. Tafadhali rudisha hela yangu la sivyo nitajitoa muhanga nianike chat zetu za PM hata nikipigwa ban najua nitarudi baada ya siku kazaa.
Najua juzi kati ulikuwa na birthday hadi humu jeiefu wakakupongeza. Kama uliongezea mahitaji ya sharehe yako mimi nataka pesa yangu.
hahaaa malaya wa what'sup wale ni vikundi vya wanaume na wanawake wanatafuta riziki kwa utapeli.Watakua wale wa magroup ya malaya huko insta, ilishanikutaga hii, Niligoma kutuma elf tano akachukua picha yangu akaipiga bonge la bandiko "MALAYA WA INSTA'' kaniambia nisipotuma hiyo 5k anaipost huko insta, Mbona niliomba pooo!
😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂Nilimtumia 4800
Woiii siku hizi sikai tabata jomoniii...niko msakuzi mimi😂😂😂
wanaume tumebaki wachache sana wengi ni waimba taarabu kama huyu mkuu
Hv lengo la jf n watu kutongozana ama
4800?????what da' hellllll....chæiiii♀️
♀️
kakubuloku
Mtaje basi mkuu,ili wengine nao wasije wakaliwaHela yangu haiendi kirahisi hivyo
Hilo ni lengo moja wapoHv lengo la jf n watu kutongozana ama