Hii simu ijae picha zangu tuuu

Yanii huyu jamaa amepatikanaaaa... mwanamke ana guts za kumwambia hivyo mbelee za watu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] huko ndani mbona atamtukania mpaka mama akeee... jamaa awe zaidi ya falaa
Kwani yeye anaona hayo sasa...
Ngoja miaka iende ende ndo atafunguka akili. Hapo bado kabisa kung'amua
 
Ila wanawake bwana! Hapo mwenyewe kafuraaaaahi!

Ushauri wa bure kwa huyo brother asitegemee kupata furaha kutoka kwa mwanamke never never never!
 
Hawa bado watoto, wameoana wakati either wote ni immatured or mmoja wao
 
Jamaa kaingia cha kike.
Atanuswa mpaka mbupu akichelewa kurudi nyumbani.

hutu tumtu tulikokosa nyama huwa tunajikuta tubabe balaa.

Hivi ndio ile design ya nipige sasa kama wewe mwanaume kweli, halafu ukikandika konzi moja tu kinatundikiwa drip.
Jamaa ajipange hasa.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…