Hii simu ijae picha zangu tuuu

Nakadori

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2011
Posts
8,779
Reaction score
21,061
Hayo ni maneno ya bidada bi harusi mtarajiwa (aliyenyimwa tunyama nyama) kwa muweme mtarajiwa baada ya kumnunulia simu.

Kila zawadi huja na masharti yake.... japo me sipendi sana masharti.... jambo jema ni lile linalofanywa kwa hiyari na sio kwa lazima.....

Kaka kazi unayo

Ila mwenzenu week hii nzima naumwa sema tu ya jf hayanipitii. Mniombee
Your browser is not able to display this video.
 
Aisee mada nyingine ngumu sana kuchangia nataka nichangie unachotaka wewe ili ujisikie walau vzr maana ni week ya kuchanganyikiwa hii anyway nachotaka unielewe mimi sijaelewa kwanza anavyomwelekeza matumizi ya simu huku anaiangalia mboto ni kweli anamaanisha simu au dudu nijuzwe nina dirty mind kinyana
 
Dada mtata huyo, jamaa anamwambie nimekuelewa anamlazimisha ajielezee[emoji28]

Aah ani dakika za mwanzo tu unaleta mzozo, huyo alitakiwa apate yule jamaa wa "SITAKI SHOWOFF" ndio wangeenda sambamba[emoji28]
 
Getwell soon
 
😂😂😂😂maigizo ya tamthilia kaanza kuyatekeleza kwa vitendo, mwanaume hafanywi hivyo tena siku ya sendoff!! Mbele za wakwe na wazazi wako huko ndani itakuwaje,, bwana harusi mwenyewe kakosa raha kabisa, sendoff, zawadi ndo kumpelekesha mume mtarajiwa namna hii kweli
 
Hilo la kujaa picha zake cha mtoto kubwa zaidi ni la kuwafokea wazazi na wageni waalikwa kuwa waache kelele[emoji23]
Your browser is not able to display this video.
 
Yanii huyu jamaa amepatikanaaaa... mwanamke ana guts za kumwambia hivyo mbelee za watu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] huko ndani mbona atamtukania mpaka mama akeee... jamaa awe zaidi ya falaa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…