Hii si Tanzania salama tena:

Hii si Tanzania salama tena:

Hiki chama naweza kuwaita wajinga. Yaan hiki chama kinaongozwa na mateja, maana haiwezekani mtu ukaapa halafu hati ya kiapo ukaondoka nayo badala ya kumwachia aliyekuapisha. Sijawahi sikia hii mahali popote ni tanzania tu itafanyika kwa mara ya kwanza. Pili. Mnajua kabisa kitendo cha kwenda kuvamia kwa mkurugenzi ni kitendo cha uvunjifu wa amani, kuna hatari ya kuchoma mali na ofisi za serikali kwa sababu tu mjinga mmoja katawala mawazo ya wajinga wenzake, pia hakuna polisi mjinga anaweza kushot civillian aliyeko kwenye public transport akisafiri, lazima huyu mschana alikuwa front line akiandamana na lazima alikaidi amri halali ya askari wetu, na labda alienda mbali sana kwa kukabiliana nao kupigana either kwa mawe ama silaha ingine. Muwalaumu viongozi wenu ambao waliwambia muandamane halafu wao wakakaa ndani mwao na wake zao wakisubiri kuona wapiga kura wao wakikamatwa. So chadema jiulizeni kwa ujinga mdogo mliofanya umezaa impact kubwa, 1. Mmesababisha upotevu wa maisha. 2. Wapigakura wenu hawatapiga kura hivyo mmepunguza idadi ya kura sababu watakuwa wameshikiliwa hadi jumatatu. Nawapongeza sana kwa kuisaidia ccm ishinde
 
Hii si Tanzania salama tena pa kuishi,
Damu iliyomwagika Kinondoni haitawaacha salama wauaji na mawakala wao waliowatuma.

Uvumilivu kwa Tanzania sasa inaelekea mwisho,, ubaguzi sasa baina ya makabila na vyama ni dhahiri.

Ni nani aliyewaambieni ninyi tume ya uchaguzi na mkurugenzi wa Kinondoni kuwa wenye haki ya kupewa hati ya viapo ni CCM tu?? Kwani vyama vingine havina haki hiyo?? Mbona sheria iko wazi??

Kwanini mnatumia ubaguzi huo waziwazi?? Kwanini mnaleta machafuko na kuondoa amani katika nchi hii?? Kwa mauaji haya yaliyotokea na kuua na kujeruhi watu, nani yupo salama??

Kwanini tume ya uchaguzi na wakurugenzi/wasimamizi wa uchaguzi mnavuruga uchaguzi?? Uchaguzi huu mnavuruga kwa maslahi ya nani??
Damu hiyo iliyomwagika haitawaacha salama hakika,,mtadaiwa juu yenu wenyewe na vizazi vyenu.

Na ninyi polisi,,miguu yenu na mikono yenu imejaa damu, wote mliohusika katika kuwapiga watu wasiokuwa na hatia, damu hiyo itadaiwa mikononi mwenu na juu ya familia na vizazi vyenu.

Mungu na awalipizie maradufu kwa damu hiyo mliyoimwaga isiyokuwa na hatia,,
Mungu na awalaani wote mliohusika katika kuua na kumwaga damu isiyokuwa na hatia,,,hamtabaki salama hakika daima,,,,.

Unaongelea hawa Wakurugenzi Makada wa CCM wakiambiwa na Mkullu hataki kuusikia Mkurugenzi atakayemtaja Mgombea wa Upinzani mshindi wakati Serikali ya CCM ndiyo inamlipa mshahara?
 
Watu wengine wanaponzwa na viherehere vyao tu.
umeambiwa alikuwa kwenye daladala. ulitaka asiende shule? Akili zenu zimelala. Au unaona raha mwenzio kukatishwa uhai. Acheni chuki. Jaribu kuwa hata na roho ya huruma ya kinafki tu.
 
Hii si Tanzania salama tena pa kuishi,
Damu iliyomwagika Kinondoni haitawaacha salama wauaji na mawakala wao waliowatuma.

Uvumilivu kwa Tanzania sasa inaelekea mwisho,, ubaguzi sasa baina ya makabila na vyama ni dhahiri.

Ni nani aliyewaambieni ninyi tume ya uchaguzi na mkurugenzi wa Kinondoni kuwa wenye haki ya kupewa hati ya viapo ni CCM tu?? Kwani vyama vingine havina haki hiyo?? Mbona sheria iko wazi??

Kwanini mnatumia ubaguzi huo waziwazi?? Kwanini mnaleta machafuko na kuondoa amani katika nchi hii?? Kwa mauaji haya yaliyotokea na kuua na kujeruhi watu, nani yupo salama??

Kwanini tume ya uchaguzi na wakurugenzi/wasimamizi wa uchaguzi mnavuruga uchaguzi?? Uchaguzi huu mnavuruga kwa maslahi ya nani??
Damu hiyo iliyomwagika haitawaacha salama hakika,,mtadaiwa juu yenu wenyewe na vizazi vyenu.

Na ninyi polisi,,miguu yenu na mikono yenu imejaa damu, wote mliohusika katika kuwapiga watu wasiokuwa na hatia, damu hiyo itadaiwa mikononi mwenu na juu ya familia na vizazi vyenu.

Mungu na awalipizie maradufu kwa damu hiyo mliyoimwaga isiyokuwa na hatia,,
Mungu na awalaani wote mliohusika katika kuua na kumwaga damu isiyokuwa na hatia,,,hamtabaki salama hakika daima,,,,.
Du!! Duwa kali sana hii, si ya kesema Amiin.
 
Mm hua kila siku najiuliza yaan chadema ndo wavunjifu tu wa amani TZ ila ccm wao hua wananafata sheria kila siku ...jiulize tu hata ww km mtanzania mpenda amani ...
 
umeambiwa alikuwa kwenye daladala. ulitaka asiende shule? Akili zenu zimelala. Au unaona raha mwenzio kukatishwa uhai. Acheni chuki. Jaribu kuwa hata na roho ya huruma ya kinafki tu.
Sijaambiwa alikuwa kwenye dalalala. mazingira ya tukio nayajua vizuri, kwa hiyo wewe uliyeambiwa kaa kimya tu.
 
Hivi we darasa la ngapi? Bila shaka huenda hats chekechea hujagusa maana unaongea upumbavu
Badala ya kujibu hoja unatoa lugha za ovyo. Tatizo lenu mnabebeshwa mizingo iliyowazidi uwezo, mkiambiwa ukweli mnatukana.

Muungwana akikosa hoja hunyamaza tu.
 
Hujaongelea tatizo la msingi kwanini maandamano?
Kiuhalisia hakuna sababu yakufanya maandamano. Maandamano ambayo hayajengi, wala hayaleti mabadiliko. Kuna njia bora zaidi za kutatua matatizo, wala si maandamano ambamo ndani mwake wamejaa vibaka na majambazi
 
ninyi watu mmeuvaa ushetani rasmi, ninyi sijui mnaabudu katika dini gani na medhehebu gani utu umewatoka kabisaa sababu tu ya kumfurahisha shetani mmoja.

Huyo aliyeuawa wala hakuwa kwenye msafara wa chadema ni mpita njia tu, itafika wakati ambapo furaha yenu hii itakuwa kilio na mtambue maisha ya mnao lingia sasa kwa kutoa uhai wa wenzenu kama mnachinja kuku huku mkiwa na.furaha iliyo tukuka mioyoni mwenu ni mafupi kuliko maisha ya umauti.
Ok, aliyeuawa hakuwa sehemu ya maandamano, sasa mkosaji ni nani? kwa nini asilaumiwe aliyevuruga hali ya amani na kusababisha maisha ya majirani zake kuwa hatarini?
 
CCM wanajitambua, wana kamati maalum kwa ajili ya taratibu za kisheria na miiko ya kisiasa. Ndio maana hata wanachama wao wanajulikana hadi kwa viongozi wa maeneo husika. Si hawa wa vyama vya sasa hivi hata hawajulikani wanalala wapi, na hata viongozi wao hawawafahamu.

Chadema kinachowaharibia ni baadhi ya viongozi wasiojua utaratibu, na kingingine ni hulka ya wanachama wake, bendera fuata upepo.
Wenae ccm minaonaga hamna timamu ata kdogo kunavijana huku wa ccm atamnapo jadili life yaani hainaga mapointi Kama majehu tuu hajui yanaenda wapi yanatoka wapi.
 
Haya ni yale wanayofanyiwa live, imagine yale wanayofanyiwa huko mafichoni wale wanaotekwa! Achilia mbali wanaouwawa kinyama na watanzania wenzao! Na rais kimya!
Mnahangaika sana kwa kila hali kutuletea machafuko hapa nchini sijui kwa manufaa ya nani? Ila mwisho wenu utakuwa mbaya sana. Rais yuko kimya kwa sababu anapata taarifa sahihi ya nini mnachokusudia kufanya. Muda ndio utaongea. Siku Rais atakapoamua kuongea sijui nyuso zenu mtazificha wapi!?
 
Mwisho mbaya utakuja kwenu wanyanyasaji na wadhalilishaji. Mwisho wa wapigania haki ni haki! Jinga kabisa wewe.
 
Back
Top Bottom