Hii si Tanzania salama tena:

Hii si Tanzania salama tena:

Mtu akikaidi amri halali na apigwe tu.
Acheni kutetea uvunjivu wa amani. Fikiria kama nchi haitakuwa na utaratibu wa kuzuia watu kuandamana, kuna watu wengine wana vikundi vya vibaka watasingizia wanaandamana kumbe ni wezi.

Halafu jiulize unaowatetea wanapata faida gani kuandamana zaidi ya hasara, hapo kiongozi wao mbowe alikimbilia wapi badala ya kuwatetea watu wake?

Mamlaka lazimwa iheshimiwe mkuu
Ktk hili nakataa hoja zako.
 
Rais ataongea nini wakati kawatuma yeye?
Tunamuhitaji atengue uteuzi wa huyo Mkurugenzi aliyesababisha kifo cha huyo mwanafunzi asiye na hatia mara moja

Asipofanya hivyo tutajua kuwa maagizo yote ya kuwanyima mawakala wa Chadema yalitoka kwake........

Na laana itawatafuna wote waliosababisha kifo hicho
 
Tunamuhitaji atengue uteuzi wa huyo Mkurugenzi aliyesababisha kifo cha huyo mwanafunzi asiye na hatia mara moja

Asipofanya hivyo tutajua kuwa maagizo yote ya kuwanyima mawakala wa Chadema yalitoka kwake........

Na laana itawatafuna wote waliosababisha kifo hicho
Sana sana Rais ata m-promote.
 
Sababu ya yote ni kutaka kuaminisha dunia kuwa anakubalika sana! Kinachofanywa hapo ni die or live for the sake of my reputation. Sifa ni kitu kibaya,Tusipende sana kuiendekeza
 
Mtu akikaidi amri halali na apigwe tu.
Acheni kutetea uvunjivu wa amani. Fikiria kama nchi haitakuwa na utaratibu wa kuzuia watu kuandamana, kuna watu wengine wana vikundi vya vibaka watasingizia wanaandamana kumbe ni wezi.

Halafu jiulize unaowatetea wanapata faida gani kuandamana zaidi ya hasara, hapo kiongozi wao mbowe alikimbilia wapi badala ya kuwatetea watu wake?

Mamlaka lazimwa iheshimiwe mkuu

Kwanini hamtoi fomu za mawakala za upinzani!???.

Kama unataka tuuwane kama kenya endelea kusapoti hao wapumbavu waliosababisha haya.

Uvulivu una kikomo na nadhani kikomo kinakarinia. Only time will tell.
 
Mkuu, vyama vingi havijaanzia tanzania. Tanzania ni changa sana katika mfumo huu wa vyama vingi. Angalia nchi kama Afrika kusini, wana zaidi ya miaka mia moja wanao mfumo wa vyama vingi. Angalia marekani, angalia uingereza. Hata hivyo huko sio kuwa hawaandamani au kuandamana ni kwa hulka tu. kule kuna utararatibu na utaratibu unafuatwa.

Ni hatari sana kuvunja sheria za nchi kwa kisingizio cha vyama vingi. Kama kweli ni mzalendo basi utatii sheria tu. Vyama vingi haimaanishi sheria nyingi au taratibu nyingi. mfumo wa vyama vingi unaenda na mfumo wa sheria za nchi. Pasipo kuheshimu mamlaka na sheria hakika vyama vingi havitakuwa na manufaa bali nchi itageuka bwawa la vibaka tu.
Hujaongelea tatizo la msingi kwanini maandamano?
 
RIP
63c81a8d8eb63dc620bc5649fe3c4a1d.jpg
Doh! Hii ni hasara kwa wanaume.
ningelikuwa ni mbowe kuanzia sasa ningewaambia wananchi kwamba polis ni adui zetu na sio rafiki zetu. popote walipo wasipewe ushirikiano. hali iliyofikia ni bora ifahamike moja...
 
Hali ya usalama ni shwari kabisa tunasubiri tu kupiga kura. Nawatakia uchaguzi mwema
Inaelezwa kwamba mwanafunzi aliyepigwa risasi na kufa hakuwa mmoja wa waandamanaji, alikuwa kwenye usafiri kwa safari zake binafsi.

Sasa hili ni onyo dogo tu kwa mtu mwenye akili, unaweza kujiona haya hayakuhusu lakini yakakukuta kwa njia hii.

Siku yatakapokukuta ndio utapata ujasiri zaidi wa kuyasema hayo uliyoandika!
 
Wakati fulani ni lazima nguvu itumike kwa mustakabali wa amani ya nchi. Embu fikiria haya yakiachwa yafanywe yanavyotaka tutafika kweli kwa ukaidi wao. Enzi zile kina slaaa wali taka kuanza kufikia hatua ya kuwambia wananchi kwamba eti police ni wachache raia ni wengi siku wakiamua kwamba mnawapiga huku nawao wanawapiga majumbani kwenu itakuwa je? mambo kama hayo si hatari kwa usalama wa nchi yetu? Muheshimiwa raisi wetu hakupaswa kumpa hata ubalozi huyu. Wapigwe tu kama Wana kaidi hakuna namna police oyee
 
ninyi watu mmeuvaa ushetani rasmi, ninyi sijui mnaabudu katika dini gani na medhehebu gani utu umewatoka kabisaa sababu tu ya kumfurahisha shetani mmoja.

Huyo aliyeuawa wala hakuwa kwenye msafara wa chadema ni mpita njia tu, itafika wakati ambapo furaha yenu hii itakuwa kilio na mtambue maisha ya mnao lingia sasa kwa kutoa uhai wa wenzenu kama mnachinja kuku huku mkiwa na.furaha iliyo tukuka mioyoni mwenu ni mafupi kuliko maisha ya umauti.
 
Wakati fulani ni lazima nguvu itumike kwa mustakabali wa amani ya nchi. Embu fikiria haya manyumbu yakiachwa yafanywe yanavyo taka tutafika kweli kwa ukaidi wao. Enzi zile kina slaaa wali taka kuanza kufikia hatua ya kuwambia wananchi kwamba eti police ni wachache raia ni wengi siku wakiamua kwamba mnawapiga huku nawao wanawapiga majumbani kwenu itakuwa je? mambo kama hayo si hatari kwa usalama wa nchi yetu? Muheshimiwa raisi wetu hakupaswa kumpa hata ubalozi huyu. Wapigwe tu kama Wana kaidi hakuna namna police oyee
kwa chuki mnayo pandikizwa na mwenye kiti wenu NI halali yako kuyasema haya uliyo yasema
 
Sisi mi waoga, hakunacha ngoma kupasuka wala nini. Ccm wameshajua wanatawala nchi ya waoga na ndio maana wanafanya watakalo. Na wataendelea kutawala miaka nenda rudi labda mungu aamue mwenyew ila kwa uoga wetu huu hawatoki ng'oo.
Mkuu wewe ndo umeongea pointi sasa, tunajua sana kulalamika Ila ku react ni sifuri
 
Back
Top Bottom