Sanchez magoli
JF-Expert Member
- Apr 24, 2015
- 4,056
- 8,547
very painful
Mkuu, vyama vingi havijaanzia tanzania. Tanzania ni changa sana katika mfumo huu wa vyama vingi. Angalia nchi kama Afrika kusini, wana zaidi ya miaka mia moja wanao mfumo wa vyama vingi. Angalia marekani, angalia uingereza. Hata hivyo huko sio kuwa hawaandamani au kuandamana ni kwa hulka tu. kule kuna utararatibu na utaratibu unafuatwa.Si bora wafute vyama vingi kuliko huu ujinga? Halafu hata rais anatizama tu! Dah!
Mamlaka na sheria inapotakiwa kuheshimiwa na vyama vyote kasoro ccm kuna haja gani ya vyama vingi?Mkuu, vyama vingi havijaanzia tanzania. Tanzania ni changa sana katika mfumo huu wa vyama vingi. Angalia nchi kama Afrika kusini, wana zaidi ya miaka mia moja wanao mfumo wa vyama vingi. Angalia marekani, angalia uingereza. Hata hivyo huko sio kuwa hawaandamani au kuandamana ni kwa hulka tu. kule kuna utararatibu na utaratibu unafuatwa.
Ni hatari sana kuvunja sheria za nchi kwa kisingizio cha vyama vingi. Kama kweli ni mzalendo basi utatii sheria tu. Vyama vingi haimaanishi sheria nyingi au taratibu nyingi. mfumo wa vyama vingi unaenda na mfumo wa sheria za nchi. Pasipo kuheshimu mamlaka na sheria hakika vyama vingi havitakuwa na manufaa bali nchi itageuka bwawa la vibaka tu.
Mkuu hakuna marefu yasiyo na ncha ipo siku hawa hawa wadanganyika watachoshwa na kushtuka usingizini........mfano kwa MugabeSisi mi waoga, hakunacha ngoma kupasuka wala nini. Ccm wameshajua wanatawala nchi ya waoga na ndio maana wanafanya watakalo. Na wataendelea kutawala miaka nenda rudi labda mungu aamue mwenyew ila kwa uoga wetu huu hawatoki ng'oo.
Kulikuwa na sababu gani kuzuia viapo vya CHADEMA na kuwapa CCM viapo vyao??Mtu akikaidi amri halali na apigwe tu.
Acheni kutetea uvunjivu wa amani. Fikiria kama nchi haitakuwa na utaratibu wa kuzuia watu kuandamana, kuna watu wengine wana vikundi vya vibaka watasingizia wanaandamana kumbe ni wezi.
Halafu jiulize unaowatetea wanapata faida gani kuandamana zaidi ya hasara, hapo kiongozi wao mbowe alikimbilia wapi badala ya kuwatetea watu wake?
Mamlaka lazimwa iheshimiwe mkuu
Masharti na vigezo kuzingatiwa. Viapo havigawiwi kama njugu mzeeKulikuwa na sababu gani kuzuia viapo vya CHADEMA na kuwapa CCM viapo vyao??
Hujielew ww. Je?? Hizo fomu zilizuiliwa kwa utaratibu upi???Mkuu, vyama vingi havijaanzia tanzania. Tanzania ni changa sana katika mfumo huu wa vyama vingi. Angalia nchi kama Afrika kusini, wana zaidi ya miaka mia moja wanao mfumo wa vyama vingi. Angalia marekani, angalia uingereza. Hata hivyo huko sio kuwa hawaandamani au kuandamana ni kwa hulka tu. kule kuna utararatibu na utaratibu unafuatwa.
Ni hatari sana kuvunja sheria za nchi kwa kisingizio cha vyama vingi. Kama kweli ni mzalendo basi utatii sheria tu. Vyama vingi haimaanishi sheria nyingi au taratibu nyingi. mfumo wa vyama vingi unaenda na mfumo wa sheria za nchi. Pasipo kuheshimu mamlaka na sheria hakika vyama vingi havitakuwa na manufaa bali nchi itageuka bwawa la vibaka tu.
CCM wanajitambua, wana kamati maalum kwa ajili ya taratibu za kisheria na miiko ya kisiasa. Ndio maana hata wanachama wao wanajulikana hadi kwa viongozi wa maeneo husika. Si hawa wa vyama vya sasa hivi hata hawajulikani wanalala wapi, na hata viongozi wao hawawafahamu.Mamlaka na sheria inapotakiwa kuheshimiwa na vyama vyote kasoro ccm kuna haja gani ya vyama vingi?
Ila vinagawiwa km ofa au?? Baada ya damu kumwagika kwann vimetolewa?? Au masharti yake ni mpaka damu??Masharti na vigezo kuzingatiwa. Viapo havigawiwi kama njugu mzee
Bila shaka wewe ndio mshamba wa washamba. yaani hata hujui kwa nini fomu za viapo hazikutolewa? Siko hapa kukuelimisha, kama ni mwerevu uliza mamlaka husiaka, kama si mwerevu utaendelea kupelekeshwaHujielew ww. Je?? Hizo fomu zilizuiliwa kwa utaratibu upi???
Baada ya maandamano na damu ya mwanafinzi kwann vimetolewa jion ileile?? Labda sijui hebu nieleleze ?Bila shaka wewe ndio mshamba wa washamba. yaani hata hujui kwa nini fomu za viapo hazikutolewa? Siko hapa kukuelimisha, kama ni mwerevu uliza mamlaka husiaka, kama si mwerevu utaendelea kupelekeshwa kama nyumbu tu,,
unatetea maandamano haramu kumbe hata sababu ya maandamano huijui. Nguruwe wewe.
Kwanini ccm peke yenu ndo mlipewa hati za viapo?CCM wanajitambua, wana kamati maalum kwa ajili ya taratibu za kisheria na miiko ya kisiasa. Ndio maana hata wanachama wao wanajulikana hadi kwa viongozi wa maeneo husika. Si hawa wa vyama vya sasa hivi hata hawajulikani wanalala wapi, na hata viongozi wao hawawafahamu.
Chadema kinachowaharibia ni baadhi ya viongozi wasiojua utaratibu, na kingingine ni hulka ya wanachama wake, bendera fuata upepo.
Najitambua, niko sehemu salama!Umezaliwa au umeokotwa choo cha sokoni wewe mbwiga
Kitu usichokijua ni bora ukakiacha kilivyo, inaonesha wewe ni bendera fuatu upepo tu, hujui upepo unatoka wapi wala unaelekea wapi. Pole kwa kuwa gizaniBaada ya maandamano na damu ya mwanafinzi kwann vimetolewa jion ileile?? Labda sijui hebu nieleleze ?
Mkuu, ukifuata utaratibu hakuna kinachoharibika. Fanya kinachotakiwa sehemu husika ndani ya mda muafakaKwanini ccm peke yenu ndo mlipewa hati za viapo?
Ambaye hakufuata utaratibu ni DED.Mkuu, ukifuata utaratibu hakuna kinachoharibika. Fanya kinachotakiwa sehemu husika ndani ya mda muafaka
Si ndio vizuri yatokee ya Zimbabwe mchukue nchi,mbona unawasanua?Hawa viongozi wetu hata kama hawajifunzi chochote, hawaoni au kusikia harufu ya yanayoendelea Zimbabwe, Ethiopia na Afrika ya kusini?