Wapeleke hoja binafsi bungeni Serikali haina shida na vyama vingine mradi sheria ifuatwe bila shuruti.Si bora wafute vyama vingi kuliko huu ujinga? Halafu hata rais anatizama tu! Dah!
Wapeleke hoja binafsi bungeni Serikali haina shida na vyama vingine mradi sheria ifuatwe bila shuruti.Si bora wafute vyama vingi kuliko huu ujinga? Halafu hata rais anatizama tu! Dah!
Rais afanye nini waziri,igp na wengine si wapo?Haya ni yale wanayofanyiwa live, imagine yale wanayofanyiwa huko mafichoni wale wanaotekwa! Achilia mbali wanaouwawa kinyama na watanzania wenzao! Na rais kimya!
Kweli km hutii sheria bila shuruti.very painful
Umekuwa msemaji wa Mungu Leo?Mwenye aliye.mwaga damu mwenye aliyetoa amri ya kuimwaga damu hakika damu hiyo itachukuliwa mikononi mwako regardless of your political status. Mungu huwa hadhihakiwi hata sekundemoja
Pelekeni hoja binafsi bungeni ya kufuta vyama vingi. Uliona wapi ccm wanaandamana kiboya hivyo?Mamlaka na sheria inapotakiwa kuheshimiwa na vyama vyote kasoro ccm kuna haja gani ya vyama vingi?
Mtasubiri sana.Mkuu hakuna marefu yasiyo na ncha ipo siku hawa hawa wadanganyika watachoshwa na kushtuka usingizini........mfano kwa Mugabe
Na kulikuwa na sab gn ya Kuandamana bila kibali? Two wrongs don't make one right.Kulikuwa na sababu gani kuzuia viapo vya CHADEMA na kuwapa CCM viapo vyao??
Kuzuiliwa fomu sio kibali cha kufanya maandamano.Hujielew ww. Je?? Hizo fomu zilizuiliwa kwa utaratibu upi???
Kwahiyo akawaambia muandamane bila kibali?Ambaye hakufuata utaratibu ni DED.
MAAGIZO KUTOKA JUU,ONE MAN SHOW..SI UNAONA KINA MNYETI WANAVYOJIACHIA, HABARI NDO HIYO WELCOME TO THE NEW TZ, UNDAVA UNDAVA TUAmbaye hakufuata utaratibu ni DED.
Mkuu, vyama vingi havijaanzia tanzania. Tanzania ni changa sana katika mfumo huu wa vyama vingi. Angalia nchi kama Afrika kusini, wana zaidi ya miaka mia moja wanao mfumo wa vyama vingi. Angalia marekani, angalia uingereza. Hata hivyo huko sio kuwa hawaandamani au kuandamana ni kwa hulka tu. kule kuna utararatibu na utaratibu unafuatwa.
Ni hatari sana kuvunja sheria za nchi kwa kisingizio cha vyama vingi. Kama kweli ni mzalendo basi utatii sheria tu. Vyama vingi haimaanishi sheria nyingi au taratibu nyingi. mfumo wa vyama vingi unaenda na mfumo wa sheria za nchi. Pasipo kuheshimu mamlaka na sheria hakika vyama vingi havitakuwa na manufaa bali nchi itageuka bwawa la vibaka tu.
What is going on in our country?smh
kuna wale vijana waliimba mtu akifa hawatalia ila watatamani kuutupa mwili mto kagera uliwe na mambaKesho wakifa wao hata kwa ajali na wanainchi wakifurahi utasikia UZALENDO umepotea kumbe matukio kama haya ndio sababu.
Tunachojaribu kujiuliza ni kwanini viapo vya mawakala wa Chadema vilikuwa havijatolewa hadi wafuasi wake waandamane na kijana asiye na hatia wa UDSM auawe??Na kulikuwa na sab gn ya Kuandamana bila kibali? Two wrongs don't make one right.
RIPHii si Tanzania salama tena pa kuishi,
Damu iliyomwagika Kinondoni haitawaacha salama wauaji na mawakala wao waliowatuma.
Uvumilivu kwa Tanzania sasa inaelekea mwisho,, ubaguzi sasa baina ya makabila na vyama ni dhahiri.
Ni nani aliyewaambieni ninyi tume ya uchaguzi na mkurugenzi wa Kinondoni kuwa wenye haki ya kupewa hati ya viapo ni CCM tu?? Kwani vyama vingine havina haki hiyo?? Mbona sheria iko wazi??
Kwanini mnatumia ubaguzi huo waziwazi?? Kwanini mnaleta machafuko na kuondoa amani katika nchi hii?? Kwa mauaji haya yaliyotokea na kuua na kujeruhi watu, nani yupo salama??
Kwanini tume ya uchaguzi na wakurugenzi/wasimamizi wa uchaguzi mnavuruga uchaguzi?? Uchaguzi huu mnavuruga kwa maslahi ya nani??
Damu hiyo iliyomwagika haitawaacha salama hakika,,mtadaiwa juu yenu wenyewe na vizazi vyenu.
Na ninyi polisi,,miguu yenu na mikono yenu imejaa damu, wote mliohusika katika kuwapiga watu wasiokuwa na hatia, damu hiyo itadaiwa mikononi mwenu na juu ya familia na vizazi vyenu.
Mungu na awalipizie maradufu kwa damu hiyo mliyoimwaga isiyokuwa na hatia,,
Mungu na awalaani wote mliohusika katika kuua na kumwaga damu isiyokuwa na hatia,,,hamtabaki salama hakika daima,,,,.
Rais ataongea nini wakati kawatuma yeye?Haya ni yale wanayofanyiwa live, imagine yale wanayofanyiwa huko mafichoni wale wanaotekwa! Achilia mbali wanaouwawa kinyama na watanzania wenzao! Na rais kimya!