excellentone
JF-Expert Member
- Aug 28, 2017
- 721
- 471
ccm oyeeeeeeJinga litajulikana hivi karibuni! Pampuyu wee.

Laana zipo na watu hulaaniwa kwa matendo yao maovu.Hii si Tanzania salama tena pa kuishi,
Damu iliyomwagika Kinondoni haitawaacha salama wauaji na mawakala wao waliowatuma.
Uvumilivu kwa Tanzania sasa inaelekea mwisho,, ubaguzi sasa baina ya makabila na vyama ni dhahiri.
Ni nani aliyewaambieni ninyi tume ya uchaguzi na mkurugenzi wa Kinondoni kuwa wenye haki ya kupewa hati ya viapo ni CCM tu?? Kwani vyama vingine havina haki hiyo?? Mbona sheria iko wazi??
Kwanini mnatumia ubaguzi huo waziwazi?? Kwanini mnaleta machafuko na kuondoa amani katika nchi hii?? Kwa mauaji haya yaliyotokea na kuua na kujeruhi watu, nani yupo salama??
Kwanini tume ya uchaguzi na wakurugenzi/wasimamizi wa uchaguzi mnavuruga uchaguzi?? Uchaguzi huu mnavuruga kwa maslahi ya nani??
Damu hiyo iliyomwagika haitawaacha salama hakika,,mtadaiwa juu yenu wenyewe na vizazi vyenu.
Na ninyi polisi,,miguu yenu na mikono yenu imejaa damu, wote mliohusika katika kuwapiga watu wasiokuwa na hatia, damu hiyo itadaiwa mikononi mwenu na juu ya familia na vizazi vyenu.
Mungu na awalipizie maradufu kwa damu hiyo mliyoimwaga isiyokuwa na hatia,,
Mungu na awalaani wote mliohusika katika kuua na kumwaga damu isiyokuwa na hatia,,,hamtabaki salama hakika daima,,,,.
Huyo mwanafunzi alikuwa kwenye daladala anahusika vipi kiherehere chake nini?una ubongo au kichwa kimejaa makamasiWatu wengine wanaponzwa na viherehere vyao tu.
Ila kwa kuwa NI WAKATI WA SHETANI KUTAMALAKI, WAFUASI WA IBILISI(CCM) WAMETIWA UPOFU.Laana zipo na watu hulaaniwa kwa matendo yao maovu.
Una ua Watu utalinda na kumtawala naniCCM inatawala kwa mtutu? Mbona imekuwa hivi? CCM is a den of vipers. Inaelekea wanataka watawale at any cost, hata kama itabidi wawaue watu kwanza ndio watawale maiti?
AIBU! AIBU! AIBU! CCM mnavunja kabisa heshima iliyokuwa nayo Tanzania.
Unaandika ukiwa Tz ama umeandika ukiwa tayari upo nje ya taifa hili. Ona aibu kuandika pumba kama hizi wakati upo kitaaa unapiga soga aibu aibu yakoHii si Tanzania salama tena pa kuishi,
Damu iliyomwagika Kinondoni haitawaacha salama wauaji na mawakala wao waliowatuma.
Uvumilivu kwa Tanzania sasa inaelekea mwisho,, ubaguzi sasa baina ya makabila na vyama ni dhahiri.
Ni nani aliyewaambieni ninyi tume ya uchaguzi na mkurugenzi wa Kinondoni kuwa wenye haki ya kupewa hati ya viapo ni CCM tu?? Kwani vyama vingine havina haki hiyo?? Mbona sheria iko wazi??
Kwanini mnatumia ubaguzi huo waziwazi?? Kwanini mnaleta machafuko na kuondoa amani katika nchi hii?? Kwa mauaji haya yaliyotokea na kuua na kujeruhi watu, nani yupo salama??
Kwanini tume ya uchaguzi na wakurugenzi/wasimamizi wa uchaguzi mnavuruga uchaguzi?? Uchaguzi huu mnavuruga kwa maslahi ya nani??
Damu hiyo iliyomwagika haitawaacha salama hakika,,mtadaiwa juu yenu wenyewe na vizazi vyenu.
Na ninyi polisi,,miguu yenu na mikono yenu imejaa damu, wote mliohusika katika kuwapiga watu wasiokuwa na hatia, damu hiyo itadaiwa mikononi mwenu na juu ya familia na vizazi vyenu.
Mungu na awalipizie maradufu kwa damu hiyo mliyoimwaga isiyokuwa na hatia,,
Mungu na awalaani wote mliohusika katika kuua na kumwaga damu isiyokuwa na hatia,,,hamtabaki salama hakika daima,,,,.
....Hapana atakuwa analilia makalio yako...Unamlilia mwanafunzi anaesemekana kauawa au?
Tolea mbali upuuzi wako wewe,sio salama wakat watu tupo viwanja tunakula bata? Ibgekuwa si salama hata hizo paragraph ulizoandika upuuzi wako ungewahi? Nyie watu mnacheza sana na amani ya nchi,unalalama si salama na unaropoka unayoropoka kenge weweHii si Tanzania salama tena pa kuishi,
Damu iliyomwagika Kinondoni haitawaacha salama wauaji na mawakala wao waliowatuma.
Uvumilivu kwa Tanzania sasa inaelekea mwisho,, ubaguzi sasa baina ya makabila na vyama ni dhahiri.
Ni nani aliyewaambieni ninyi tume ya uchaguzi na mkurugenzi wa Kinondoni kuwa wenye haki ya kupewa hati ya viapo ni CCM tu?? Kwani vyama vingine havina haki hiyo?? Mbona sheria iko wazi??
Kwanini mnatumia ubaguzi huo waziwazi?? Kwanini mnaleta machafuko na kuondoa amani katika nchi hii?? Kwa mauaji haya yaliyotokea na kuua na kujeruhi watu, nani yupo salama??
Kwanini tume ya uchaguzi na wakurugenzi/wasimamizi wa uchaguzi mnavuruga uchaguzi?? Uchaguzi huu mnavuruga kwa maslahi ya nani??
Damu hiyo iliyomwagika haitawaacha salama hakika,,mtadaiwa juu yenu wenyewe na vizazi vyenu.
Na ninyi polisi,,miguu yenu na mikono yenu imejaa damu, wote mliohusika katika kuwapiga watu wasiokuwa na hatia, damu hiyo itadaiwa mikononi mwenu na juu ya familia na vizazi vyenu.
Mungu na awalipizie maradufu kwa damu hiyo mliyoimwaga isiyokuwa na hatia,,
Mungu na awalaani wote mliohusika katika kuua na kumwaga damu isiyokuwa na hatia,,,hamtabaki salama hakika daima,,,,.
Hah hahah hah haha jitetee kivyakoUkiskia Ngoma inavuma sana ujue inakaribia kupasuka.
Time will tell
Viongozi wako wapi?Hawa viongozi wetu hata kama hawajifunzi chochote, hawaoni au kusikia harufu ya yanayoendelea Zimbabwe, Ethiopia na Afrika ya kusini?