Hii sasa ni pupa, ni papara

Ndiyo unagundua leo baada ya ndege kuanza kubeba wanaCCM bure ili ionekane imejaa. Wengine tulionya muda mrefu sana na cost assessment yake ikawekwa humu JF.
Quinine bhana eti baada ya kubeba wanaccm bure ili ionekane imejaa nimecheka Sana[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji2] [emoji2] [emoji1] [emoji1] [emoji3] [emoji3] [emoji2] [emoji1] [emoji1] [emoji3] [emoji3] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Ni serikali ambayo kwa ujinga wako uliipigania sana Sasa kaieleze hayo maujinga yako usitujazie seva.
miafrika ndivyo mlivyo
 
Ukiwa ni mtu wa kusimamia kanuni hutopata shida kunielewa!

Ila ukiwa mshabiki unayeongozwa na mihemuko basi utapata tabu sana.
Unayepata taabu sana ni weye unayelazimika kulamba matapishi yako mwenyewe.
Ungalikuwa mtu wa kanuni ungekumbuka kuwa mkono ulioshika kinyesi huwa haukatwi. Wewe uliamua kuukata hivyo hutaweza kuunganisha, labda kije kizazi kisichoujua unafiki wako
 
Akili ndogo.

Bye Felicia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…