Hii raha au karaha?


against who?
 
ha ha ha shem hv kuulizwa kuna raha yake eeh??

Sasa je, mtu unatoka unaingia mpenzi wako hajui ulikotoka wala unapoenda ina maana hajali we hata ukirudi usiku wa manane hajigusi kha lazima ujiulize huyu hana hata kawivu, siulizwi nlikotoka ila ikizidi sana ni maudhi mara mojamoja sio vibaya kuuliza
 

Alikuwa anatafuta Attention yako na alijupata kweli.
 
ila kweli shemeji
 
we acha kabisa usiseme hivyo nampenda farkhina mpaka napagawa yaani farkhina ni kila kitu kwangu jamani nampenda sana sana farkhina nakulavulavu mpenzi

Umepagawa nini mbona huokoti makopo na viatu unavaa...
 
Last edited by a moderator:
Ungekuwa single, single, single. Rejea nyuma kidogo kuna msemo usemao ''NATURE IS NEITHER CREATED NO DESTROYED'' Wewe nani alikufundisha kupenda pindi ulipobalehe kama ni mwanaume na ulipovunja ungo kama ni msichana. Hisia zilikubadilika kutoka kwenye penda ya kitoto na kuanza kupata mihemuko ya mwili kutaka tendo jingine la ziada. Dhahiri ni NATURE HAS TAKEN ITS OWN COURSE. Dhahiri kupenda ni RAHA tupu hata maudhi ni sehemu ya hizo raha za kupenda, linganisha kupenda kwa staili ya watani zangu WAKURYA. Yote raha.
 
siku hizi ukipenda wekeza tu nywele au kucha,ukiwekeza roho siku akikubwaga utaumia,ila kiweka kucha zitaota tu tena!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…