Hii raha au karaha?

mapenzi ni raha na ni matamu sana.

ukiwa single upweke nomaaaaaaa.. na unakosa mautamu lolz.
 
Hivi itakuwaje unayodhani ni karaha yakawa sio?

Halafu ni kwanini ufikirie kufikiri kuhusu mtu mwingine kuwa hiki hivi ua kile vile?
 
Ni raha kama jamaa Ana pesa ya kukutimizia nahitaji yako yote. Kama ni ya maneno tu ni karaha tupu
 
Hivi itakuwaje unayodhani ni karaha yakawa sio?

Halafu ni kwanini ufikirie kufikiri kuhusu mtu mwingine kuwa hiki hivi ua kile vile?

Mmmh usinifikirie vibaya miye napata raha nimewaza tu maana ukimwa single hakunaga makuu but upweke ndo utakumaliza.
Ila kwa wengine ni karaha ndomaana nikatoa hayo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…