Hii picha niya msanii gani ?

Huyu ni michael Jai white.. nimemjua baada ya kutazama filamu yake ya undisputed 2 akiwa na scott adkins Akicheza kama George iceman chamber. Pia kwenye ngoma ya nikki minaj ya Your love huyu bwana yumo
Baada ya hio movie siku hizi anatoa low budget movies.. hata Scott Adkins... sijui movie za ngumi hazilipi?
 
Baada ya hio movie siku hizi anatoa low budget movies.. hata Scott Adkins... sijui movie za ngumi hazilipi?
Movie za sk hiz Sijui zipoje zipo tofauti na zako pink cha nyuma
Za sk tukio dogo inaishia kwenye movie nzima
Ila za zamani zilikuwa zina matukio mengi
 
Movie za sk hiz Sijui zipoje zipo tofauti na zako pink cha nyuma
Za sk tukio dogo inaishia kwenye movie nzima
Ila za zamani zilikuwa zina matukio mengi
Movie zimekuwa za hovyo sana siku hizi...
filamu nyingi ni marudio na marekebisho ya kazi zilizopita/remake...
waigizaji walikuwa na vipaji na uwezo halisi, kama mtu anajua ngumi kwenye movie hata maisha yake nje ya movie anajua ngumi... sio leo director wanaweza mchukua mlimbwende eti anapigana karate...
 
Hapa ndipo wanapoharibu.. filamu zinashutiwa na drones na AI hadi kero
 
πŸ˜€ Wacha bwana, unajua Surya niko serious, nilitamani muda mrefu kujua maana ya jina lako, mwanzo nilifikiri unamaanisha "suriya" lakini nikagundua ni mtu mume.

Pia sio tu maana ya Jina, Pia Stars wa Kihindi wanapenda kutumia hili Jina kwenye Uigizaji, Nawakubali dunia πŸ˜‚πŸ˜
 
unakuta Master shoga πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…