Baada ya hio movie siku hizi anatoa low budget movies.. hata Scott Adkins... sijui movie za ngumi hazilipi?Huyu ni michael Jai white.. nimemjua baada ya kutazama filamu yake ya undisputed 2 akiwa na scott adkins Akicheza kama George iceman chamber. Pia kwenye ngoma ya nikki minaj ya Your love huyu bwana yumo
Movie za sk hiz Sijui zipoje zipo tofauti na zako pink cha nyumaBaada ya hio movie siku hizi anatoa low budget movies.. hata Scott Adkins... sijui movie za ngumi hazilipi?
Wyne RooneyNani anamjua huyu ?
View attachment 3418059
Naamini kila kitu kina tafsiri yake..
1. Kwanini Profile hiyo ?
2. Kwanini Username hiyo ?
Nielezee yangu ?
š Wacha bwana, unajua Surya niko serious, nilitamani muda mrefu kujua maana ya jina lako, mwanzo nilifikiri unamaanisha "suriya" lakini nikagundua ni mtu mume.nafikiri hizi zitakua harakati za siri š
Movie zimekuwa za hovyo sana siku hizi...Movie za sk hiz Sijui zipoje zipo tofauti na zako pink cha nyuma
Za sk tukio dogo inaishia kwenye movie nzima
Ila za zamani zilikuwa zina matukio mengi
Hapa ndipo wanapoharibu.. filamu zinashutiwa na drones na AI hadi keroMovie zimekuwa za hovyo sana siku hizi...
filamu nyingi ni marudio na marekebisho ya kazi zilizopita/remake...
waigizaji walikuwa na vipaji na uwezo halisi, kama mtu anajua ngumi kwenye movie hata maisha yake nje ya movie anajua ngumi... sio leo director wanaweza mchukua mlimbwende eti anapigana karate...
huo ni mgomba, chakula, nilivuna kwa mara ya kwanza mikono yangu mwenyewe.Na vp kuhus pfp yako
Kuna movie yake kali undisputed 2 last man standing kamshirikisha kipenzi chetu cha dhati Imam Hussain ibn Ali AS. Yani bonge la movie.Nani anamjua huyu ?
View attachment 3418059
Naamini kila kitu kina tafsiri yake..
1. Kwanini Profile hiyo ?
2. Kwanini Username hiyo ?
Nielezee yangu ?
oya ššššKuna movie yake kali undisputed 2 last man standing kamshirikisha kipenzi chetu cha dhati Imam Hussain ibn Ali AS. Yani bonge la movie.
View attachment 3418091
š Wacha bwana, unajua Surya niko serious, nilitamani muda mrefu kujua maana ya jina lako, mwanzo nilifikiri unamaanisha "suriya" lakini nikagundua ni mtu mume.
unakuta Master shoga ššššMovie zimekuwa za hovyo sana siku hizi...
filamu nyingi ni marudio na marekebisho ya kazi zilizopita/remake...
waigizaji walikuwa na vipaji na uwezo halisi, kama mtu anajua ngumi kwenye movie hata maisha yake nje ya movie anajua ngumi... sio leo director wanaweza mchukua mlimbwende eti anapigana karate...
Nimependa, lakini hujasema why unatumia hilo, umeelezea tu maana ya jina.View attachment 3418093
Pia sio tu maana ya Jina, Pia Stars wa Kihindi wanapenda kutumia hili Jina kwenye Uigizaji, Nawakubali dunia šš
š okaaaayI feel to relate with š
Duh umenishtua aisee au unipe ubuyu hata inbox,ila uzuri sura zao zinafanana kwa mbaliYaani kaka ni histori ndefu mno ila wacha nisiseme nisijekuwa naingilia mambo binafsi aisee
Ni hatari sana kakaDuh umenishtua aisee au unipe ubuyu hata inbox,ila uzuri sura zao zinafanana kwa mbali
ArmorapaNani anamjua huyu ?
View attachment 3418059
Naamini kila kitu kina tafsiri yake..
1. Kwanini Profile hiyo ?
2. Kwanini Username hiyo ?
Nielezee yangu ?