Hii pekee ipo Rwanda

Ongeza haya;
Pia Kigali hutambuliwa kama mji msafi zaidi Africa; huku walishapiga marufuku mifuko ya plastic tangu mwaka 2008.

Pia utaratibu wa usafi wa kila jumamosi ya mwisho wa mwezi ulianzishwa hapa miaka kadhaa iliyopita.

Lonely planet wanaitambua Kigali kama mji salama na unaovutia zaidi barani Africa.

Mji wa Kigali, ndio mji wa kwanza barani africa kuwa na huduma ya bure internet Wi-fi kwa maeneo mengi ya mji huo chini ya mpango wa ''smart Kigali''...
 
ugali nyama.= ugali kongoro haaaaa
 
Mkuu namba 3 jamaa yupo sahihi hasa kwa mkoa wa Kagera. Guest karibu zote zina plastic cover.
 
Ila nimekukubali yani ndani ya siku mbili tu umeweza kunasa mambo yote hayo!! Alafu kwa nini hujagongewa muhuri wa Exit wakatu unarudi!

We shida yako ni hipi! Au una bifu na mleta mada - you have a choice aidha ukubaliane na stori yake au uipuuzie lakini siyo kutaka ku derail mada kwa kutumbukiza malumbano ambayo hayana tija - kama vipi na wewe leta stori ya kwako tulinganishe.
 
Haaaaa kama ni hivyo basi wabongo tunaonekana lulu yaan ukiongea Swahili ya dasilama utaitwa muwekezaji !!!!
 
Kwa upande wa ulinzi Tanzania inatisha acha hao wa kunyatianyatia kuna Man to Man police huwezi sijui kama unaifahamu hii...ila ukitaka ushahidi uliza wauza gongo na bodaboda kwanza.
Tupo vizuri sana.Tanzania ndiyo Nchi pekee yenye wanawake wazuri kwa upekee wao sijutii kuishi Tanzania,nimeoa Tanzania napata kila kitu Tanzania.
Tanzania ndiyo Nchi ambayo ukiweza kuongea vizuri unaweza ukajipatia mwanamke mkali hatari siyo hao unaowaambia ni wazuri halafu wanakujibu urakoze".Tanzania wanaconcentrate kusikikiza kwanza ukieleweka unajibenea akuuu...
Diamond anasifika huko ila alianzia Tanzania kwa maana hiyo Tanzania ni Mama.
 
Aah
unajua huu uzi wakijanja bt pia wakikuda sana,unavichochezi vya ngono..
kweli aisee
 
Kumbe kuna mengi ya kujifunza huko Rwanda!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…