Makoye Matale
JF-Expert Member
- May 2, 2011
- 6,490
- 2,104
Kama hakugundua hakujiandaa 'kunyaza'.😉😉😉😉😉Umuhimu wa plastick cover kwenye godoro hukuugundua ulivyomng'oa yule demu wa kitutsi pale club mkuu......
Kama hakugundua hakujiandaa 'kunyaza'.😉😉😉😉😉Umuhimu wa plastick cover kwenye godoro hukuugundua ulivyomng'oa yule demu wa kitutsi pale club mkuu......
Nilipanga kwenda Kampala likizo ijayo, nimeghairi naekelea Kigali aisseeee.Alaaa kumbe! Sasa ndo nafunguka maana that night ilikuwa ni maji tu kama vita vya maji maji..
I was a plumber that day maana nlikuwa na sababu mbili muhimu moja lilikuwa ni jukumu la kitaifa kuthibitisha kwamba Bongo tunazijua shoo pia. Nyingine ilikuwa mtoto alikuwa mkali kwa hiyo niliona kama golden chance kwa maantiki hizo hapo juu niliazimika kuwa fundi bomba makini for a while maana maji yalikuwa yanatoka uncontrorablly.
Ilikuwa ndo fantasy yangu kugegeda show yenye maji...nlikua naenjoy saana fundi bomba nikiyatekenya maji anavyokakamaa na kurusha kama water fountain.aaha!
Swali la kizushi kwanini watu wengi wanamiliki maji saana kule kwa Kagame?
Now I know...Kumbe plastic cover ndo kazi yake.
Sasa mkuu hujaja na ka mnyarwanda kamoja🙂🙂🙂Habari wandugu!
Leo ndio narudi Tanzania nikitokea Rwanda kwa ajili ya likizo ya mapumziko kiukweli kuna mengi niliyoyaona na kujifunza nikiwa Rwanda ila nafurahi maana mengi ni mazuri.
Suala la usalama hilo liko wazi kwa kila mmoja Rwanda ndio nchi pekee ambayo nimetembea usiku mnene na Polisi akawa ananifuata nyuma mpaka nikaingia lodge ndo akarudi bila hata kuniharass wala kunisemesha. Mfumo wao wa doria ni hatari sana. Wanakuwa askari kadhaa kwenye Gari then wengine wanatembea kwa miguu wakiachiana hatua kama tano tano single file. Ajabu guest niliyofikia kulikuwa na makahaba wengi jirani yake pamoja na kapub ila polisi wanawalinda kwa adabu na nidhamu kubwa.
Rwanda ndio nchi pekee ambayo pombe yake maarufu Primus inaujazo mkubwa sana hivyo ni kawaida sana mtu akakusalimia na akapiga funda kadhaa then akaondoka, nimeona wapenzi wengi wakishare liprimus limoja na hakuna shida. Hii imeongeza umoja na upendo miongoni mwao yaani Rwanda kuna love mpaka unaogopa sijui sababu wana makovu ya chuki na vurugu ndo maana wanaheshimu sana amani. Upendo na kuheshimiana pia kuvumiliana maana nimetembea kwenye bar na pub sijakuta watu wakirushiana maneno makali au kupigana hapana! Its peace!
Rwanda ndo nchi pekee ambayo salam ya hi! Jibu lake ni fine!
Rwanda ndio nchi pekee ambayo mji mkuu kila mtu anamjua mtu Fulani. Watu almost wote wanajuana mji mkuu.
Rwanda ndio nchi pekee ambayo idadi kubwa ya raia anavaa nguo zinazofanana na za kijeshi na hakuna noma iwe kofia pekee, au suruali, au shati au hata buti na hakuna police wala mjeshi anaehoji wazee wa usalama hawana maneno wao ni ulinzi tu kwa kwenda mbele.Kuna time nlikutana na jamaa mchana kuanzia cap mpaka boot ni la jeshi afu jamaa anauza vocha stendi ya bus. Ahahahaha.
Rwanda ndio nchi pekee ambapo Polisi na jeshi wanashika doria za usiku na mchana.
Rwanda ndo nchi pekee ambapo polisi wana aina moja ya uniform kwa askari wote.mf hapa bongo yaani FFU, askari wa kawaida, traffic, wote wawe na sare moja.
Rwanda kigali ndio mji mkuu pekee ambao sijaona mfuko wa plastic wala karatasi imezagaa barabarani.
Rwanda ndo mji pekee east Africa ambapo diamond yuko celebrated than local artist wa pale. Wale wasiojua kiingereza pale Rwanda wanaamini diamond platinum ni neno la kiswahili. Nimeenda club kadhaa na kila club ilipiga nyimbo za diamond zaidi ya nne tofauti na wasanii wengine. Ilifika time nikang'oa mpaka demu mkali wa kitutsi kwenye club moja VIP kwa kiki la kwamba diamond ni jirani yangu pale Dar ilhali ukweli nakaa Mwanza, nyegezi.
Rwanda Kigali ndo mji pekee ambapo wimbo wa pressure wa afsa kazinja na banana upo kwenye chati na unapigwa kwenye baadhi ya bar na pub hapa mjni Kigali.
Rwanda Kigali ndo mji pekee ambapo magodoro yake yamewekewa "plastic cover" sijui hata ni kwa sababu gani, mtanisaidia tafadhali wandugu.
Rwanda Kigali ndo mji pekee ambao nimekutana na mwanamke na nikamwambia wewe ni mrembo saana afu akajibu "urakoze" afu akaunga stori nyingine like its normal then that's it. Nahisi Washaambiwa saana we ni mrembo ndo maana hawashangai tena kuambiwa warembo. Daamn!
Rwanda ndo mji pekee ambao ukiagiza ugali na nyama utaletewa ugali na kongoro...ahahaha!
Kwa ujumla sijajutia likizo yangu Rwanda.
Wewe hujauona. Ipo minne hapo mkuuIla nimekukubali yani ndani ya siku mbili tu umeweza kunasa mambo yote hayo!! Alafu kwa nini hujagongewa muhuri wa Exit wakatu unarudi!
Ahahaha!! Kampala maisha ni simple saana ila hakuna girls wakali wa kuyapa maisha maana yake halisi mpwa.Nilipanga kwenda Kampala likizo ijayo, nimeghairi naekelea Kigali aisseeee.
Nawewe unataka ukawe Fundi Bomba huko?Nilipanga kwenda Kampala likizo ijayo, nimeghairi naekelea Kigali aisseeee.
..Si yeye ndio ametembea hadi hapo sasa wewe usimseme kaongeza chumvi..jamaa anayosema ni kweli!kumbuka Congo ina waasi pia wana uniform zao mzee...hakuna chumvi yupo sawa tu!Kaka kuna point umeziongezea chumvi
1: Sio kweli bwana, haiwezekani mtu kujua watu wa mji Mzima, kama utawajua wachache basi kila mji uko hivyo
2: sio kweli, DRC na Burundi pia Askari wote wanavaa uniform za aina moja
3: sio kweli, hata Mji wa Kampala, Bukoba, Ngara hali iko hivyohivyo, Guest nyingi Magodoro ya Plastic Cover
..hiyo ndo tofauti sasa"kikoti cha reflector tu"Kaka iko hivi, Rwanda SIO NCHI PEKEE ambayo Askari Wake (police, fieldforce nk) wanavaa nguo zinazofanana, DRC na Burundi Askari wote wanavaa Uniform za Blue kama hizo za Rwanda, utamtofautisha trafic kwa kikoti cha reflector tu,
Kampala kuna cover Kabisa
..Mnajifanya hatujijui tabia zetu!!!??...moja kabisa sio WAKWELI,hatuaminiki kama WAARABU.nami nataka kujua hapo wanagyatiliwaje
Hiyo tech ipo katika ukanda wa maziwa makuu, hapa kwetu ukipita mitaa ya Ngara, Murushaka, Kayanga, Bukoba na hata Muleba na Biharamulo utakutana na hayo magodoro, kwetu wanaita i teknoloji iki ka katerero lakini huko Rwanda wanaita Kunyaza.Nawewe unataka ukawe Fundi Bomba huko?
Bado sana mkuu,kohoni = kooniMimi Jamii forum imenisaidia sana kuandika kwa staha na usahihi.
Mwanzoni nilikuwa naandika hovyo hovyo bila kufata kanuni na taratibu za maandishi, hivyo naamini kwa vile wamo humu JF na mmewakalia kohoni lazima wataboresha maandishi yao kadri muda unavyokwenda.
..Mnajifanya hatujijui tabia zetu!!!??...moja kabisa sio WAKWELI,hatuaminiki kama WAARABU.

wewe kama sio obsessed na wanawake, jitathmini jinsia yako mkuu.Aise nimejaribu kupitia comment za watanzania wenzangu huku kuhusu Safari ya Rwanda kwakweli labda watu wamechukulia kama chitchating tu lakini ni ukweli usiopingika kwamba Tanzania na Africa tunayosafari ndefu ya kujitambua na kuwa matured yaani comments utafikiri ni vijana wanaobalehe ndio wanaongea kumbe ni watu wazima tena wengine wana family.
Lakini wapo obsessed na wanawake mpaka wanajiwekea nikakati ya kupoteza laki 1 ya kwenda Rwanda ili kutafuna papuchi ya mnyarwanda tu basi warizike kisha warejee Tanzania.
Sio kama naingilia maisha ya watu oo course huwezi kumpangia mtu maisha ayatakayo ila in general view watanzania au waafrica kwa percentage kubwa bado hatujitambui.
. By now every one of us has seen it practically that the Blacks cannot rule themselves. Give them guns and they will kill each other. They are good in nothing else but making noise, dancing, marrying
many wives and indulging in sex. Let us all accept that the Black man is the symbol of poverty, mental inferiority, laziness and emotional incompetence. Isn't it plausible? therefore that the White man is created to rule the Black man? Come to think of what would happen one day if you woke up and on the throne sat a Kaff*ir! Can you imagine what would happen to our women? Does anyone of you believe that the Blacks can rule this country?.......P. W. Botha kaburu mbaguzi wa Africa ya Kusini.
Akiyasema hayo maneno lakini ukichunguza kwa undani alikua sahihi.
Kuwa obsessed mpaka kuwafungia Safari ya kimataifa?wewe kama sio obsessed na wanawake, jitathmini jinsia yako mkuu.
Redeemer wewe ni mtu wa wapi?!...kwenu hakuna jokes?...unadhani upo serious sana na maisha kuliko vitu vingine???!.na kwa uelewa wako wote' unadhani kila mtu aliefanikiwa yupo serious na mipango yake??waombe msamaha watu weusi na wanajf walioshiriki huu uzi...!!huwapendi waafrika wenzio wewe!Aise nimejaribu kupitia comment za watanzania wenzangu huku kuhusu Safari ya Rwanda kwakweli labda watu wamechukulia kama chitchating tu lakini ni ukweli usiopingika kwamba Tanzania na Africa tunayosafari ndefu ya kujitambua na kuwa matured yaani comments utafikiri ni vijana wanaobalehe ndio wanaongea kumbe ni watu wazima tena wengine wana family.
Lakini wapo obsessed na wanawake mpaka wanajiwekea nikakati ya kupoteza laki 1 ya kwenda Rwanda ili kutafuna papuchi ya mnyarwanda tu basi warizike kisha warejee Tanzania.
Sio kama naingilia maisha ya watu oo course huwezi kumpangia mtu maisha ayatakayo ila in general view watanzania au waafrica kwa percentage kubwa bado hatujitambui.
. By now every one of us has seen it practically that the Blacks cannot rule themselves. Give them guns and they will kill each other. They are good in nothing else but making noise, dancing, marrying
many wives and indulging in sex. Let us all accept that the Black man is the symbol of poverty, mental inferiority, laziness and emotional incompetence. Isn't it plausible? therefore that the White man is created to rule the Black man? Come to think of what would happen one day if you woke up and on the throne sat a Kaff*ir! Can you imagine what would happen to our women? Does anyone of you believe that the Blacks can rule this country?.......P. W. Botha kaburu mbaguzi wa Africa ya Kusini.
Akiyasema hayo maneno lakini ukichunguza kwa undani alikua sahihi.
Wewe jamaa ni mnoko kama mwela wa stendi. Yaani from nowhere umekuja na kubadilishs course ya conversation yetu.Aise nimejaribu kupitia comment za watanzania wenzangu huku kuhusu Safari ya Rwanda kwakweli labda watu wamechukulia kama chitchating tu lakini ni ukweli usiopingika kwamba Tanzania na Africa tunayosafari ndefu ya kujitambua na kuwa matured yaani comments utafikiri ni vijana wanaobalehe ndio wanaongea kumbe ni watu wazima tena wengine wana family.