Joe1016
JF-Expert Member
- May 25, 2025
- 481
- 820
Sio tu anaipa yanga 1,300 sema anaipa yanga 1,300 pamoja na ubingwa😂😂😂Tofauti nyingine ni kwamba hela za mauzo ya jezi Mo hachukui na zote zinaenda Simba, wakati hela za jezi za Yanga GCM anachukua zote na kuipa Yanga sh. 1,300/= ( elfu moja mia tatu)