Lupweko
JF-Expert Member
- Mar 26, 2009
- 25,170
- 27,334
Kama ni upya, basi Yanga hana jipya na hajafikia 6-0 na 5-0 za kumpiga mtani 🤣🤣🤣Africa mmefanya nini cha ajabu ambacho Yanga ya GSM haijawahi kukifanya?
Kama ni upya, basi Yanga hana jipya na hajafikia 6-0 na 5-0 za kumpiga mtani 🤣🤣🤣Africa mmefanya nini cha ajabu ambacho Yanga ya GSM haijawahi kukifanya?
5-1Kama ni upya, basi Yanga hana jipya na hajafikia 6-0 na 5-0 za kumpiga mtani 🤣🤣🤣
GSM ni muwekezaji.GSM: "Yanga Bingwa"
MO: Unajua hii timu inanimalizia sana pesa zangu, tangu 2017 nimewekeza bilioni 87 na hakuna chochote ninacho pata. Nimewanunulia wachezaji boxer mpya za kuvaa, nanunuaga mchicha, jana nimemnunulia kocha vitumbua vya buku na bado kiungo mshambuliaji anadaiwa bagia za mia nane natakiwa kulipa kwa mangi.
Asubuhi na mapema mtu anakuja na mada ya aina hii! Kumbe ndio maana Wakenya wanatuita majina mengi ya ajabu iliwemo "maiti".GSM: "Yanga Bingwa"
MO: Unajua hii timu inanimalizia sana pesa zangu, tangu 2017 nimewekeza bilioni 87 na hakuna chochote ninacho pata. Nimewanunulia wachezaji boxer mpya za kuvaa, nanunuaga mchicha, jana nimemnunulia kocha vitumbua vya buku na bado kiungo mshambuliaji anadaiwa bagia za mia nane natakiwa kulipa kwa mangi.
Mzee kil kitu ni uchaguzi acheni watu wafanye kile wana penda sasa si uhamie kenya kama unaona kuko vzrAsubuhi na mapema mtu anakuja na mada ya aina hii! Kumbe ndio maana Wakenya wanatuita majina mengi ya ajabu iliwemo "maiti".
Hii inaonyesha kuwa haya ndio katafakari na kuyapa kipaumbele usiku mzima!
Pole Tanzania!
Asubuhi kama hii mtu unakuja ku comment nada ya aina hii! Kweli wewe ni mjinga wa wajingaAsubuhi na mapema mtu anakuja na mada ya aina hii! Kumbe ndio maana Wakenya wanatuita majina mengi ya ajabu iliwemo "maiti".
Hii inaonyesha kuwa haya ndio katafakari na kuyapa kipaumbele usiku mzima!
Pole Tanzania!
5-1Asubuhi na mapema mtu anakuja na mada ya aina hii! Kumbe ndio maana Wakenya wanatuita majina mengi ya ajabu iliwemo "maiti".
Hii inaonyesha kuwa haya ndio katafakari na kuyapa kipaumbele usiku mzima!
Pole Tanzania!
Naam
Kufa Kiume FC.bila kusahau lengo la kuishia makundi 🤣🤣🤣
Puuzi! Kuna ku comment na kuna ku challenge, kama hilo hulielewi una tofauti gani na wasemavyo Wakenya kuwa ni maiti?Asubuhi kama hii mtu unakuja ku comment nada ya aina hii! Kweli wewe ni mjinga wa wajinga