Juzi kati tu hapa Nazjaz alipost hivi:
kwenu mabrazameni, waheshimiwa, waume wa watu na wooote wale ambao sikuwatajeni hapa.
Mapenzi ni kitu kitamu sana kwa muda mfupi, haswa yakiwa featured na big shoppings, outings and vacations.
Ukiona umeachwa haimaanishi uendelee kung'ang'ania. Tafuta mwingine.
Ninapo acha huwa nina sababu zangu nyingi tu za kuamua kufanya hivyo.
Kwa sasa sihitaji tena simu zenu za vilio vya kuniomba niwasemehe na kufanya marudiano, wala sitaki simu zenu za ahadi kemkem.
Bahati niliyo watunuku ya kuwaonjesheni pepo ya kitandani imesha pita.
Sasa nimempata wangu, nimpaye pepo na paradiso zote, maraha na mahaba shatashata niliyo nayo na ninayo yajua ni mali yake.
Naomba tafuteni wa aina yenu.
Leo anatuambia bosi kamgonga tigo yake ili apewe nafasi ya u-line manager.
Halafu anasema:
Mimi ni mtu mzima, nikajua jamaa anataka kipochi changu, hivyo sikuona sababu yoyote ya kumnyima, nikakubali kwenda kwenye kikao hicho.
Jioni ilipofika akanipigia simu kuwa ameshafika hoteelini, nikaenda. Kikao kilikuwa na maongezi ya kawaida, bia na nyama choma.
Tulikuwa, tulikula na kunywa, maongezi yalinoga, tulicheka na kugonga.
Baada ya muda akaniomba nimfuate, nikakubali na tukaingia chumbani kwake
1. Kwanza inaonekana wewe ni mlupo, mwanamke mwenye staha zake hawezi kulichukuliwa tendo la kuliwa mzigo kirahisi hivyo hata kama ni kugongwa mbunye (njia ya kawaida), kauli yako eti
"sikuona sababu yoyote ya kumnyima" inaonyesha una amatatizo makubwa ya kimaadili. Ushauri, fanya mafungo umuombe Mungu akusaidie kuondokana na pepo la ngono linalokufanya uamini kwamba ngono ni kitu chepesi tu unachoweza kumpa mtu yeyote wakati wowote ili mradi utimize mahitaji yako.
2. Ile pale juu umesema umempata wako, sasa jitahidi utubu pia kwa huyo jamaa yako pili mkapipe manake inavyoonekana jamaa aliyekugonga tigo ni mzoefu na kiukweli ni kwamba wapenda tigo wote huwa wanapenda kugonga KAVUKAVU hivyo inaonekana pia uligongwa bila ''NDOM'' sasa mfanye mpango wa kupima NGOMA.
3. Mwisho, sikiliza wimbo wa 20%: TAMAA MBAYA.
4. Jitahidi ujisamehe mwenyewe maana Mungu wetu ni mwema hivyo ukimpigia goti tu atakusamehe.
5. Usirudie tena kugongwa TIGO, umesikia eeh mtoto mzuri, halafu hii kauli
"sikuona sababu yoyote ya kumnyima" uifute kwenye kichwa chako, manake inaokena kama jamaa angekula kipochi manyoya tu pengine usingejisikia vibaya tatizo jamaa kalamba TIGO. Sasa kwa ujumla ni kwamba iwe kipochi manyoya au TIGO vyote ni haramu kuliwa kwa lengo la kupata cheo.
Bye bye bye mtoto mzuri Nazjaz.