Hii ni siri inayonitesa! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hii ni siri inayonitesa!

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Nazjaz, Nov 27, 2011.

 1. Nazjaz

  Nazjaz JF-Expert Member

  #1
  Nov 27, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 5,345
  Likes Received: 1,141
  Trophy Points: 280
  Mimi ni mfanyakazi mwajiriwa katika shirika moja la umoja wa mataifa.

  Nilikuwa naamini kuwa nikiwa line manager nitakuwa na furaha kubwa sana maishani mwangu. Mungu mkubwa nafasi ya line manager ikatoka, na nikaiomba.

  Nilikuwa na sifa zote, ila aliyenifanyia interview ambaye pia ni mwajiri mkuu wa shirika hilo akaniambia sipati nafasi hiyo bila ya kufanya nae maongezi marefu pale Holiday Inn.

  Mimi ni mtu mzima, nikajua jamaa anataka kipochi changu, hivyo sikuona sababu yoyote ya kumnyima, nikakubali kwenda kwenye kikao hicho.

  Jioni ilipofika akanipigia simu kuwa ameshafika hoteelini, nikaenda. Kikao kilikuwa na maongezi ya kawaida, bia na nyama choma.

  Tulikuwa, tulikula na kunywa, maongezi yalinoga, tulicheka na kugonga.

  Baada ya muda akaniomba nimfuate, nikakubali na tukaingia chumbani kwake. Kwenye mengi yaliyotokea, akaniomba tigo, alikuwa na ky jelly na akanithibitishia kuwa sito umiia.

  Sikuwahi kabla kufanya upuuzi huo, nilikubali kwa kuwa nilikuwa forced na nafasi ya u line manager. Nikampa, tundu la limu. Jamaa akapiga simu weee, hadi akamaliza.

  Thank God, nikapata hiyo nafasi, lakini kutoa tigo kulinitesa, nikajilaumu na kujiona hayawani niliyetoa thamani ya maisha yangu kwa ajilio ya cheo ambacho kesho utakuwa hunacho. Sikuwa na furaha wala raha na hicho cheo, tigo ilinitesa, yaani nime fi4**irwa, loh!!! Nikajichukia.

  Msongo wa mawazo ulinisonga, siri ilinitesa na imenitesa, leo nimeona niiweke hadharani ili nipate kupona.

  Usije ukadanganyika kama mimi, usije ukatoa tigo ukadhani utapata furaha maishani, namuomba Mungu anisamehe na kunirejeshea furaha yangu, aniondolee kutojithamini na kujiamini. Siri imenitesa
   
 2. Nazjaz

  Nazjaz JF-Expert Member

  #2
  Nov 27, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 5,345
  Likes Received: 1,141
  Trophy Points: 280
  yaani hadi nimemchukia huyo bosi, Mungu anisamehe madhambi yangu
   
 3. PingPong

  PingPong JF-Expert Member

  #3
  Nov 27, 2011
  Joined: Dec 21, 2008
  Messages: 933
  Likes Received: 100
  Trophy Points: 45
  pole sana kwa yaliyokukuta, natumaini umejifunza jambo flani hapo. Mi naona bado hautakuwa umepona vizuri juu ya matatizo ya kisaikolojia kwani umetuambia sisi ambao hata hatukujui wala hatukufahamu vizuri, ni vyema kama unataka hiyo kitu uiondoe kabisa akilini mwako unatakiwa utoe ushuhuda huo mbele za watu face to face na sio kupitia mtandao kama ulivyofanya, pole sana.
   
 4. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #4
  Nov 27, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,919
  Likes Received: 220
  Trophy Points: 160
  He, makubwa...............!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
   
 5. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #5
  Nov 27, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,334
  Likes Received: 22,186
  Trophy Points: 280
  no comment. Pole binti, walio sema ukubwa jalala hawakukosea.
  Umekuwa na umeyaona
   
 6. Dumelang

  Dumelang JF-Expert Member

  #6
  Nov 27, 2011
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 2,190
  Likes Received: 1,540
  Trophy Points: 280
  Pole Ndugu yangu! kusahau tendo kama hilo si rahisi, it will take u number of years, maji yakimwagika, yamwemwagika omba sana kwa mungu atakusamehe nawe utasahau, aya yote ni maisha ipo siku yatakwisha, thou wasnt a good thing.
   
 7. Edward Teller

  Edward Teller JF-Expert Member

  #7
  Nov 27, 2011
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 3,818
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  pole sana
  inawezekana usingempa tgo bado ungepata hio nafasi tu..as long umelitoa moyoni-utakuwa huru kwa kiasi fulani-but nenda kunako imani yako ukaombe msamaha kwa Mungu wako
   
 8. Nemo

  Nemo JF-Expert Member

  #8
  Nov 27, 2011
  Joined: Feb 22, 2011
  Messages: 662
  Likes Received: 475
  Trophy Points: 80
  Nazjaz
  Pole sana,,,,,,,,,,,,,,,,,,,wanaume wengine utu zero. Yaani Duh,,,,,,,,,,,,,ila take it as a lesson. Next time dont let the need or greed for material things be it job or anything else overshadow heshima yako na utu. Also if you still are having difficulties reconciling and forgiving yourself try to seek counselling so you can move on.
   
 9. Edward Teller

  Edward Teller JF-Expert Member

  #9
  Nov 27, 2011
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 3,818
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  usilaumu wanaume-kumbuka huyu cheo ndio kimemcost haya yote-si wanaume,
   
 10. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #10
  Nov 27, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Pole sana....umekipata ulichokitaka kwa njia uliyotaka! Hapa hukuona thamani ya utu wako. Uliona cheo ni cha muhimu zaidi.
   
 11. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #11
  Nov 27, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,334
  Likes Received: 22,186
  Trophy Points: 280
  Lakini ni kweli, wanaume wengi tuna take advantage kwenye matatizo ya mabinti
   
 12. Triple A

  Triple A JF-Expert Member

  #12
  Nov 27, 2011
  Joined: Sep 4, 2011
  Messages: 750
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 45
  Bora wewe uliyejua makosa yako, naamini mwenyezi mungu atakusamehe ktk hilo kwani hukupenda kufanya hivyo kwa hiari yako mwenyewe.
   
 13. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #13
  Nov 27, 2011
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,508
  Likes Received: 2,249
  Trophy Points: 280
  Aaah! The drama queen! I miss ur dramas unajua! Pole sana.

  NazJaz,nothing judgmental lakini nadhani una moral issues ambazo unahitaji kuzishughulikia. Kwangu mie hiyo issue ya kuwa-tigo-ed sio primary. Tatizo langu ni kukubali kulalwa na mtu ili upate cheo kazini. Mwisho wa siku ni ubatili na kujilisha upepo. Trust me,muda mfupi ujao kila mtu hapo kazini atajua somehow, itakuondolea confidence ya kufanya kazi na huenda ukajikuta una-resign.

  Wewe ndo wa kubadili wanaume kwa sababu ya shopping na outings za mafia na zenj na mwishowe kujambiwa ovyo, u need to bid them goodbye as a group. Angalia usijeangukia kubaya, na emotional issues ni ngumu kudeal nazo kuliko hiv.

  Aisee, tafuta msaada wa kiroho kwanza.
   
 14. Edward Teller

  Edward Teller JF-Expert Member

  #14
  Nov 27, 2011
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 3,818
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  kutoa ushuhuda mbele ya watu inaweza kumuia ngumu-kama ameweza kuzungumza hapa-itampa relief kwenye msongo wake wa mawazo
   
 15. Edward Teller

  Edward Teller JF-Expert Member

  #15
  Nov 27, 2011
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 3,818
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  tuna-take advantage pale tunapoona mabinti wanajipeleka huko wenyewe
   
 16. C

  Chupaku JF-Expert Member

  #16
  Nov 27, 2011
  Joined: Oct 15, 2008
  Messages: 1,045
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Nazjaz anawakilisha wanawake wengi katika ajira ambao aidha wamepata cheo na marupurupu ama wamekataliwa yote hayo kwa sababu ya mahusiano "mazuri" au "mabaya" na mabosi wao hao.

  Mwana umleavyo ndivyo akuavyo. Watoto wetu wa kike tuwafundishe kujiamini na wa kiume tuwafundishe utu. Ni wangapi hapa hatuwezi kufanya aliyofanya Nazjaz au bosi wake?

  Ndo maana King'asti kamwambia matatizo yake ni deep rooted, hata ukimwambia leo aache hataacha. Inakuwaje una akili na umesoma na unatoa mwili wako upate cheo? To hell with it...hicho cheo na kikupite utapata kingine.

  Halafu kwa systems za UN, wewe Nazjaz umejitakia. Si ungemlengesha tu huyo bosi afukuzwe kazi? Hastahili wala kuwepo kazini huyo. Shame!

  Watoto wajue tena hata wa kiume waache kupenda vya bure waheshimu utu wao. Ebo!
   
 17. M

  Mpemba asilia Member

  #17
  Nov 27, 2011
  Joined: Jul 21, 2011
  Messages: 98
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Mtaka yote kwa pupa.......!!
   
 18. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #18
  Nov 27, 2011
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,326
  Likes Received: 1,793
  Trophy Points: 280
  Pole sana Nazjaz. We have to learn to balance our ambitions with realities. Binaadamu wengi wanapenda ku take advantage ya wenzao wenye shida mbalimbali.

  And above all...usiwape mbwa kitu kilicho kitakatifu maana wakishamaliza kula watarudi na kukurarua. Ukweli ni kuwa hakuna kitu kikubwa kama utu wetu,heshima yetu na furaha zetu. U manager pekee sio mwisho wa kila kitu...
   
 19. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #19
  Nov 27, 2011
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,326
  Likes Received: 1,793
  Trophy Points: 280
  It is a shocking revelation and the fact of what is happening in the corridors of corporate power. I feel so sad to hear a story like this
   
 20. Kabakabana

  Kabakabana JF-Expert Member

  #20
  Nov 27, 2011
  Joined: Aug 5, 2011
  Messages: 5,559
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Umejuta na umeomba msamaha kwa yeye alie mkuu.Ujue umesamehewa,usiangalie nyuma yote yamepita.Anza maisha yako upya kabisa mpz.
   
Loading...