Kongosho
JF-Expert Member
- Mar 21, 2011
- 35,987
- 24,226
Duh, mwonee huruma mwana wa mwenzio, hayo madongo ya kumpa siku akiwa katulia. Kufikia kuandika leo jua hili jambo limemtesa sana leo.
Utam-PM hata siku nyingine kwa madongo, pse not today
Utam-PM hata siku nyingine kwa madongo, pse not today
Biashara matangazo ehhhh??
Umeskika bi dada.Watakutafuta for sampling.