Hii ni siri inayonitesa!

Hii ni siri inayonitesa!

pole sana. Lakini sikubaliani nawe unaposema 'thank GOD nikapata cheo' hapo God/Allah hakukusaidia KABISAAA. Ni biashara ya utu ndio ilikusaidia. Usijichanganye. Ili ujikomboe inabidi ufahamu thamani yako.
 
pole lakini hiyo yte ni tamaa tu ndo iliyokuponza tigo umetoa na je ukikutana na huyo uliyempa unajisikiaje huna aman acha hiyo kazi muombe mungu akusamehe na uanze kutafuta kazi nyingine ili uondoke hapo je una mume ukimwangalia mumeo unajisikiaje achani tamaa ya kutaka vitu vya haraka mwisho wake mbaya
 
pole lakini hiyo yte ni tamaa tu ndo iliyokuponza tigo umetoa na je ukikutana na huyo uliyempa unajisikiaje huna aman acha hiyo kazi muombe mungu akusamehe na uanze kutafuta kazi nyingine ili uondoke hapo je una mume ukimwangalia mumeo unajisikiaje achani tamaa ya kutaka vitu vya haraka mwisho wake mbaya

hata huyo aliyepewa naye anajisikia vibaya...anajiona kama mpuuzi,kuna kitu kinaitwa kushtakiwa na dhamira,mf.umempiga mwanao kisa kapoteza remoti ya tv alafu kesho unaikuta kwenye koti lako...utajifaragua hivi...mimi ni mzazi tu,lakini ndani ya moyo wako(consciouss) unajiona muonevu! Hata huyo boss kuna wakati anajiona kijogoo,lakini ndani ya moyo wake anajihisi vibaya...si ajabu kumkuta kwenye mkutano wa injili kafumba macho huku anapepea mikono juu....kwa jina la y*#*f3 kisakolojia anafuta hiding place...majeraha huwapata wote!
 
Mtu hushindwa kuacha anapopigwa peku, halafu sio mara moja tu, ili uzoee lazima iwe zaidi ya mara kadhaa afu peku.

maumbile hayo ni tofauti na ya kawaida. Kama jamaa hakutumia kinga mzigo anaouacha hautoki naturally kirahisi. Hii husababisha bacteria ambao huanza kula ule mzigo uloachwa wakiumaliza huanza kula sehemu ya utumbo, hapo mtu hujisikia kuwashwa na kutaka ku-do tena

Hii ni tetesi niloipata kwa mtabibu mmoja

hata profesa maj!@###f ni mtabibu,....bacteria kula sperms kwenye tigo..!acha story za kwenye kahawa!
 
Hivi kumbeeeee!
Bora kujiajiri wallahi
Pole mwaya, yaliyopita si ndwele tugange yajayo
 
Aisee pole sana, mungu atakusamehe, unamwgaliaje huyo bosi wako, je haendelei kukusumbua tena. Mtafutie wahuni na yeye wambake ni PM tumfanyizie, yaani nasikia uchungu kama u-dada yangu.
 
angekuwa ametoa mwingine hii mada,ningeamini...sio wewe NazJaz...madrama kila siku...nahisi unajipa promo,wamekusikia watakutafuta kwenye huo mtandao.....relief uipate kwa kutoa siri yako kwa hawa vivuli???relief wanaipata watu wakishuhudia makanisani huko...na wewe nenda kama una ubavu kuwaambia watu siri yako....
 
Sasa tatizo hapo ni lipi?????
Cause sidhani kama hiyo ni mara ya kwanza, jinsi tu ulivyosimulia inaonyesha ndio zako hizo.
 
Pole sana bosi ajaomba tena kujikumbushia? Maana hiyo kitu ukijaribu lazima uirudie tena
 
usilaumu wanaume-kumbuka huyu cheo ndio kimemcost haya yote-si wanaume,


Edward Teller
While she has her own part in all of this but,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,je is rushwa ya sex part and parcel of job promotion requirement? Further more if angekuwa male candidate would this have been asked of him or ever happened?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom