Hii ni sawa jamaniii

loving is letting the other person be. you dont need to make decisions for her/him. Agree to disagree, na mambo yakiharibika be there for her and offer a shoulder to cry on. She will learn to respect your views better than you manipulating her, and she will realise what a treasure you are.
 
Real sikuona maana ya yeye kushiriki kwenye hilo tangazo, kwanza kimaadili sio vizuri, pili mimi ni mtu mtoa maamuzi mazito ofisini kwetu so life yangu huwa delicate sana.Mwisho wapo watu bwana na hio kazi ndo maana sikuwafuata wao kuwa wachumba, nilitaraji yeye kama muelewa ataheshimu wadhifa wangu na kufanya mambo kwa umakini.
 
Kwani kuna uhusiano gani kati ya unyeti wa ofisi yako na yeye kufanya hilo tangazo la sigara?, unaogopa atauza sura sana nini?
 
zemu wewe hutaki mkeo 'kuuza sigara' au hutaki mkeo 'kuuza sura' ?
meaning jee kama ingelikuwa tangazo la pepsi ungekubali?
 
mwache mtu apige kazi.kama ni wako ATAKUWA WAKO TU!lakini kama ni wa kuibiwa,hata umfungie ndani
 
Real sikuona maana ya yeye kushiriki kwenye hilo tangazo, kwanza kimaadili sio vizuri, pili mimi ni mtu mtoa maamuzi mazito ofisini kwetu so life yangu huwa delicate sana.Mwisho wapo watu bwana na hio kazi ndo maana sikuwafuata wao kuwa wachumba, nilitaraji yeye kama muelewa ataheshimu wadhifa wangu na kufanya mambo kwa umakini.

mkuu, muelimishe na muelewane!!! kumbuka ile kazi inaendana na rehearsal, photo shooting sessions na interaction na watu walio zaidi kwenye fani ya sanaa sasa kama wewe ni mwenzangu na mie, itakua ngumu

personaly nakuunga mkono kupinga hiyo move yake
 
Si kama Virus na Ant-virus................:rolleyes:
weeeeeeeeeee... acha kabisa hiyo kitu mazee!!! maisha yenyewe ya siku hizi haya bwana ni bora mtu kuweka vitu wazi

hukawii baada ya wiki unaanza kuambiwa kuna video ya sugu naenda kufanya shooting' sasa kama mtu una matarajio yako na mtazamo fualni ndio hapo unapigwa butwaa
 
Nimekusoma kwa herufi kubwa tupu mkuu!

How come bana!
 
Wana JF nisaidieni.Hivi unamchumba kisha akakuambia eti anashiriki kwenye tangazo la mfano sigara ukamshauri akakataa na wewe uko ofisi vyeti sana yenye heshima kweli kweli na yeye pia si haba ni msomi wa chuo kama Mzumbe.Hivi kweli ukimuambia achape lapa kuna makosa kweli.Naomba mawazo yenu jamani.

Fafanua anashirikije?
wanandaa wakiwa uchi?
if under normal circumstance ni wizu wa kike:confused:
 
abiria chunga mzigo wako, mambo ya mabango kukaa katikati ya jiji mchumba yupo hewani lazima ka pressure.....
 
Jaribu kuzungumza nae taratibu atakuelewa tu. Hata kama itachukua muda mrefu. Ataacha tu kwani atajua akiendelea atakuudhi.
 
Shida kubwa hapa ni yeye kuona unamzibia riziki yake kama model; sijajua umodel ni fani yake ama?
 
sigara ni mauaji tu,,,mtafutie basi kitu cha kufanya kama fani yake ni u-modo,au kingine atachopenda,ili ailinde iyo kazi yako ya ubosi mzito
 
Wana JF nisaidieni.Hivi unamchumba kisha akakuambia eti anashiriki kwenye tangazo la mfano sigara ukamshauri akakataa na wewe uko ofisi vyeti sana yenye heshima kweli kweli na yeye pia si haba ni msomi wa chuo kama Mzumbe.Hivi kweli ukimuambia achape lapa kuna makosa kweli.Naomba mawazo yenu jamani.
Jibu umelitafuta mwenyewe sasa malizia goli langoni.

Mapenzi ni kukubalia kusakrifaisi vitu vizuri upendavyo ilhali umpendezeshe mwenza wako.... Wengi hawaelewi hili ndo maana wanaburuzana hatimaye kutoana roho kwa presha
 
Mapenzi ni kukubalia kusakrifaisi vitu vizuri upendavyo ilhali umpendezeshe mwenza wako.... Wengi hawaelewi hili ndo maana wanaburuzana hatimaye kutoana roho kwa presha

Ni mtihani mgumu kwetu na ndio maana wateule ni wachache hata kuingia katika ufalme wa mbinguni!
 
Back
Top Bottom