Borakufa
JF-Expert Member
- May 26, 2011
- 1,503
- 390
1.Mtu anayeweza kuipeleka gerezani maisha familia nzima (Nguza & family) kwa kosa la kutunga tu!!huyu ni muuaji katili.
2.Mtu anaweza kuwazulia ubaya,kuwachafua na kuwadhalilisha wenzake ili yeye ateuliwe kuwa mgombea uraisi kupitia chama chake huyu ni kama muuaji tu.
3.Mtu anayetoa amri kwa vibaraka wake ili viongozi wa kisiasa wakamatwe, wawekwe ndani, wafunguliwe kesi za kutunga ovyo ovyo na kudhalilishwa kwa kila namna!! huyu anayo roho ya kiuwaji kabisa.
4. Mtu anaye amarisha vibaraka wake watumwagie risasi eti kwa kuwa tunaandamana kwa amani!!! yani huyu ni muuaji katili sana
5.Mtu anayeamrisha vibaraka wake watumwagie risasi na kutuuwa kwa kumlinda mwizi wa dhahabu yetu!! Hili ni liuwaji kubwa sana
6.Mtu anayepora fedha zetu ovyo ovyo kwa kushirikiana na mashwahiba wenzake huku akiwaletea bajaji mama zetu eti ziwapeleke hospital ambako pia hakuna dawa!! huyu ni bonge la muuaji.
Mboe, Dr. Slaa, Pro. Baregu, Pro. Safari, Tundu Lissu na wengine jueni mnakwenda kuzungumza na mtu kama wa aina hiyo. Watch out !!!