Hihihihihihisnowhite, tuna nini mimi na wewe?
Mstaafu Dark City, salamu zimefika....... mmssalimu sana bibi and the party should go on and on.......
Ila nikukumbushe tu hapa The Boss anasema usisahau kusema thank you for the party kwa wale waliopita, bibi yeye anashukuruwa na ataendelea kushukuruwa tu no matter what..... una choice na wewe ulishastaafu? ha haaaaa
Umefikiria nini Mkuu The Boss,
Yaani umeongelea jambo la maana sana. Mara nyingi sana tunajikuta tumefungwa kwenye kuangalia mabaya na kusahau mambo mengi mazuri tuliyofanyiwa na wenzetu.
Ndiyo maana Bibi huwa nampa sifa siku zote...She has been making me happy and no matter what, I will thank her for the party!
Hahaaaaaa Unataka NIACHIKE WEWE huntakii mema kabisaaa! Mi nataka kusema tu THE SHOW MUST GO ON!
Hahahahahaathnk you ccm kwa miaka 50 , mmejitahid sana ila uwezo ndo umefikia wap
Sometimes kuweza kusamehe na kushukuru kunaanzia na kujisamehe na.kujishukuru some people dont forgive themselves
Mtuhumiwa bwana enhenhennrnhe
Mpk umbea wa mujhini tuna share,so akibug huku ntammiss tu kweny mpira wa Germany na Ghana akibug huku nampata kwenye kujadili single ya Diamond au picha cha Machemli mara-haki elimu au bajeti mradi masiku yanasogea tu,gari likizima tunasukuma wote mpk petrol station japo mi ntakuwa nategea tegea ila linafika tunaweka mafuta ndrukiiiiiiiiiiiii !
Umefikiria nini Mkuu The Boss,
Yaani umeongelea jambo la maana sana. Mara nyingi sana tunajikuta tumefungwa kwenye kuangalia mabaya na kusahau mambo mengi mazuri tuliyofanyiwa na wenzetu.
Ndiyo maana Bibi huwa nampa sifa siku zote...She has been making me happy and no matter what, I will thank her for the party!
Kwa kweeeeli Thank you the party!
Cc @gfsowin cacico Mtambuzi SnowBall Mr Rocky The Finest Fixed Point King'asti Kaunga Kongosho Boflo madame x Passion Lady Kaizer Asprin Nicas Mtei Mentor KOKUTONA Nyamayao mwaJ Kaka Kiiza amu nyumbakubwa BAK Zion Daughter farkhina watu8 Eiyer Sikonge Madame B EMT jouneGwalu dah hii list inavoendelea the party inazid kuwa alive aseee !
Miss you guys!
Samahani lakini usinicheke....
Naipokeaje sasa??
Mmmh, washukuru tu.hiyo misery yao.
Aaaaaaaaaaaw! THANK YOU BABY WANGU, PIKO WA MOYO WANGU, MY LOVE, FRIEND, RELATIVE, PARTNER Matola for comming in my life! I will always love you, and you will have a special place in my heart always!
Babu nimecheka hadi machozi yananitoka, kwani mwaaaah ya bibi huwa unaipokeaje?
Tized,nini kinaendelea hapa?The Boss , Thank you.. Umetukumbusha jambo la msingi sana.
Bandugu mpitemo hapa Mr Rocky, Ntuzu, kiwatengu Tuko, utafiti, miss chagga, muuza ubuyu, Eshy m.s, sungura1980, kabanga, OLESAIDIMU (wewe nimeshakuona), ladyfurahia mwallu na #TeamRafiki wote.
I worthy it. Thank you.
The Boss , Thank you.. Umetukumbusha jambo la msingi sana.