Hii ni 'pure class'...

Hii ni 'pure class'...

Tatizo letu kubwa linaanzia hapa

Unaweza kuwa tu bibie unasema ni ngumu wakati hata hujajaribu

Lakini hata kama umejaribu,kuwa ngumu sio kigezo cha kuacha

Hebu fanya bana ...!!

Sometimes kuweza kusamehe na kushukuru kunaanzia na kujisamehe na.kujishukuru some people dont forgive themselves
 
Lingine
hatujipi muda wa kuzisoma,kuzielewa na kuzipa upekee hizo the party
yani kwa kuwa hatukuweza kuona sabsbu.ya kusema ahsante in this party.tunaingia kwenye party nyingine tukiwa bitter!so hata hiyo party mpya iweje na istahili vip kuambiwa ahsante ikijiishia tunabaki kusema ah nilijua tu si ndo.. wale wale and the like!

lakini pia wengi hatujijui ujue
usipojijua huwezi kujua kipi nani yupi alifanya nini kuambiwa thank you!
laiti tungekuwa tunajijua aseeee we wud hsve known kuwa daaaaah bila huyu mwehu anayenikera hapa sa hiz kuna kipindi ningesahau kucheka ni tendo linalohusisha kiungo gani kwenye mwili!

ila kuna hii ya matarajio makuuuuuuuuuuuuubwa!tunategemea vitu vikuuuuuubwa mpk dah!
matokeo yake tunakuwa disappointed sana wakati tungeweka mategemeo kidogo or rather tungeacha vitu vikuwe tu vyenyewe mambo ya Kmamae zako kwanza we nae ni mwanamke wa kuwa na mimi(hhhahahhahaha ana mwaka wa5 na huyo mwanamke )yasingekuwepo!

Ukiona mtu saa zote anahesabu Aliyomfanyia mtu na hakumbuki kuhesabu hata moja alilofanyiwa ujue huyo mtu kimeo
 
Most oftentimes in life, the bad outweighs the good.

I don't know why that is but that's just how it is.

You can do a gazillion good things but that one bad thing you do will likely define you for the longest if not for the rest of your life.

C'est la vie!

Labda we tend to find comfort in blaming others since we also know we have a lot to be blamed for..
 
owww yah,my sweet one ,thank you popote ulipo...it was beautiful..ningekucc hapa ila ahh sio ishu..
 
Haa haa....iliyoshindikana kivipi?
hupaswi kuondoka na dissapointment alone...kumbuka the party before,,thats all...
tazama waingereza walivyo abusive kwa wachezaji wao? inawasaidia?


Waingereza lazima wawe abusive unlike the Spanish kwasababu they have never had a party for the last ten years and they thought they would have one in 2014 that never materialized!
 
Waingereza lazima wawe abusive unlike the Spanish kwasababu they have never had a party for the last ten years and they thought they would have one in 2014 that never materialized!
Unamkumbuka Capello?alisema timu inafanya vizuri away matches kuliko za nyumbani sababu ya media iko so abusive
 
unajua nini
watu huwa hatuna tabia ya kushukuru!
pengine hatujazoeshwa kushukuriwa
pengine hatujui namna ya kufurahia tulivyo navyo wakati huo
tunatumia muda mwingi sana kukosoa tuwapendao ,kwa hiyo the party haiwi appreciated hata wakati wa mahusiano!

lingine bossman,tafsiri ya mapenzi vichwani mwetu!hatuko wapana hatuna vitu vingi tunashare na tulio na mahusiano nao just sex!kiasi ikifail hiyo unakosa lingine la kusema ahsante!.........
narudi

Na wewe una akili sana mdogo wangu!

Nimekumiss saaana!
 
Ingawa inahusu world cup but inahusu hadi kwenye MMU .....Timu ya Spain ilikuwa ina mategemeo tele
kwa kila mshabiki wa timu hiyo....nin a uhakika wapo walioweka pesa za kamari kwa timu hiyo..mamilioni .wapo waliosafiri kutoka Spain hadi Brazil...na kulanguliwa tiketi za dola 90 kwa kuuziwa dola 1000...na kadhalika...kilichotokea kila mtu anakijua...wamepigwa 5-1,halafu 2-0...out....na walifungwa kizembe pia..kipa wao Cassilas alisababisha magoli kadhaa
kocha nae akamng'ang'ania mechi ya pili na wachezaji wengine huku akiacha wachezaji tele bench wenye vipaji..sasa

baada ya kufungwa na kutolewa kwa kipigo cha aibu nikawa najiuliza hasa mashabiki watakuwa na hasira kiasi gani kwa Cassilas na Kocha....na nini kitafuata.....je watawasulubu wachezaji na kocha? media zao zitasemaje?hasira zao zitatulizwa vipi?.......kilichotokea ndicho kilichonifurahisha....first mashabiki wamesikitika tu bila kutukana wala kulaumu sana..
.Media za kwao ndo kabisa....wameweka picha za timu yao huku vichwa vya habari vikisema tu 'the end' wengine waliandika 'thank you' 'it was beautiful' na kadhalika...magazeti na mshabiki kwa ujumla yalikuwa yanatoa shukrani kwa wachezaji kwa 'mafanikio ya Spain toka mwaka 2008 walipokuwa mabingwa wa Ulaya,2010 mabingwa wa dunia,2012 tena mabingwa wa ulaya...mwandishi mmoja alisema 'it was the end of the six years party' thank you.. hakuna aliejishughulisha na what is...or what could have been na kadhalika...watu hasa media wametoa tu shukrani kwa ujumla kwa timu hii kwa kipindi chote walichowapa furaha ya ushindi... mpaka siku ile party ilipoisha...pure class

Tunaweza kujifunza....kitu hapo iwe mahusiano ya mtu na mtu au mtu na taasisi....siku yakiisha no matter how dissapointed you are...angalau shukuru for the' party before' ...kuliko ku spend muda mwingi kulaumu,kutukana kulalamika about the dissapointment.......ukifukuzwa kazi shukuru tu.sema thank you ..it was beautifull..sio kuwalaani watu waliokufanyia fitina milele hadi ukafukuzwa kazi...the same goes for broken hearts.. sometimes tukumbuke 'the party before' dissapointment na kusema thank you..it was beautifull.......and that is pure class...

Very true mkuu. I like how you have linked those scenarios. Pure class!
 
Aaaaaaaaaaaw! THANK YOU BABY WANGU, PIKO WA MOYO WANGU, MY LOVE, FRIEND, RELATIVE, PARTNER Matola for comming in my life! I will always love you, and you will have a special place in my heart always!
Mhhh Matola hongera zako mkuu, hizo love love, sijui special place, piko wa moyo wangu limbwata tosha.
 
Last edited by a moderator:
Ahsante!
Usininunie tena sasa,unaona ulivopata shida!
Mekumithi mpk macho yanawasha!


Hahahahahahahahah,

Kumbe na wewe unakubali mkwara mbuzi??

Babu hawezi kumnunia mjukuu bwana.....

Hala, wewe na mtuhumiwa mnaunganishwa na mambo mangapi?

Jibu ili tujue nini kitawapata gari ikizima ghafla!!
 
Hahahahahahahahah,

Kumbe na wewe unakubali mkwara mbuzi??

Babu hawezi kumnunia mjukuu bwana.....

Hala, wewe na mtuhumiwa mnaunganishwa na mambo mangapi?

Jibu ili tujue nini kitawapata gari ikizima ghafla!!
Mtuhumiwa bwana enhenhennrnhe
Mpk umbea wa mujhini tuna share,so akibug huku ntammiss tu kweny mpira wa Germany na Ghana akibug huku nampata kwenye kujadili single ya Diamond au picha cha Machemli mara-haki elimu au bajeti mradi masiku yanasogea tu,gari likizima tunasukuma wote mpk petrol station japo mi ntakuwa nategea tegea ila linafika tunaweka mafuta ndrukiiiiiiiiiiiii !
 
Back
Top Bottom