Hii ni 'pure class'...

Hii ni 'pure class'...

Hawa spain wao walifurahi kwa miaka minne iliyopita lakini sasa unampata mpenzi baada ya wiki tu anakuchepukia, hapo utamsifu kwa lipi
 
Ndio maana linaitwa bara la ulaya na Afrika yetu..kibongobongo watu huwa hawakumbuki kushukuru hata kwa machache waliyofanyiwa zaidi ya milawama,fitna na laana juu! Btw-ni good lesson for us !! Thank you The Boss for this critical thinking!!
 
Last edited by a moderator:
Hawa spain wao walifurahi kwa miaka minne iliyopita lakini sasa unampata mpenzi baada ya wiki tu anakuchepukia, hapo utamsifu kwa lipi

Haki ya mungu nimeshindwa kujizuia kucheka
 
asante michepuko yangu yote hasa ule wa tabata.kule tegeta na ule ukionipa vlak wa masaki xjausahau ule mbagala rang 3 pweza nlkula xana japo usaf wa mashaka.ntakusahauje wa karkoo it was beutful michepuko mengne nawashukuru hasa allen wa social network tanx was beutful time
 
unajua nini
watu huwa hatuna tabia ya kushukuru!
pengine hatujazoeshwa kushukuriwa
pengine hatujui namna ya kufurahia tulivyo navyo wakati huo
tunatumia muda mwingi sana kukosoa tuwapendao ,kwa hiyo the party haiwi appreciated hata wakati wa mahusiano!

lingine bossman,tafsiri ya mapenzi vichwani mwetu!hatuko wapana hatuna vitu vingi tunashare na tulio na mahusiano nao just sex!kiasi ikifail hiyo unakosa lingine la kusema ahsante!.........
narudi
 
Huu ujumbe mzuri sana kwa watu ambao mmeshamegana sana mkachokana mnaanza kuumizana kwa kuambiana mara huyu bwawa,mara huyu kibamia unasahau raha zote mlizokuwa mnapeana wakati huo.Shukrani sana kwa ujumbe murua.
 
Huu ujumbe mzuri sana kwa watu ambao mmeshamegana sana mkachokana mnaanza kuumizana kwa kuambiana mara huyu bwawa,mara huyu kibamia unasahau raha zote mlizokuwa mnapeana wakati huo.Shukrani sana kwa ujumbe murua.
Exactly watu mmechokana..haina maana kuumizana more..say thank you...it was good...adios..
 
Ingawa inahusu world cup but inahusu hadi kwenye MMU .....Timu ya Spain ilikuwa ina mategemeo tele
kwa kila mshabiki wa timu hiyo....nin a uhakika wapo walioweka pesa za kamari kwa timu hiyo..mamilioni .wapo waliosafiri kutoka Spain hadi Brazil...na kulanguliwa tiketi za dola 90 kwa kuuziwa dola 1000...na kadhalika...kilichotokea kila mtu anakijua...wamepigwa 5-1,halafu 2-0...out....na walifungwa kizembe pia..kipa wao Cassilas alisababisha magoli kadhaa
kocha nae akamng'ang'ania mechi ya pili na wachezaji wengine huku akiacha wachezaji tele bench wenye vipaji..sasa

baada ya kufungwa na kutolewa kwa kipigo cha aibu nikawa najiuliza hasa mashabiki watakuwa na hasira kiasi gani kwa Cassilas na Kocha....na nini kitafuata.....je watawasulubu wachezaji na kocha? media zao zitasemaje?hasira zao zitatulizwa vipi?.......kilichotokea ndicho kilichonifurahisha....first mashabiki wamesikitika tu bila kutukana wala kulaumu sana..
.Media za kwao ndo kabisa....wameweka picha za timu yao huku vichwa vya habari vikisema tu 'the end' wengine waliandika 'thank you' 'it was beautiful' na kadhalika...magazeti na mshabiki kwa ujumla yalikuwa yanatoa shukrani kwa wachezaji kwa 'mafanikio ya Spain toka mwaka 2008 walipokuwa mabingwa wa Ulaya,2010 mabingwa wa dunia,2012 tena mabingwa wa ulaya...mwandishi mmoja alisema 'it was the end of the six years party' thank you.. hakuna aliejishughulisha na what is...or what could have been na kadhalika...watu hasa media wametoa tu shukrani kwa ujumla kwa timu hii kwa kipindi chote walichowapa furaha ya ushindi... mpaka siku ile party ilipoisha...pure class

Tunaweza kujifunza....kitu hapo iwe mahusiano ya mtu na mtu au mtu na taasisi....siku yakiisha no matter how dissapointed you are...angalau shukuru for the' party before' ...kuliko ku spend muda mwingi kulaumu,kutukana kulalamika about the dissapointment.......ukifukuzwa kazi shukuru tu.sema thank you ..it was beautifull..sio kuwalaani watu waliokufanyia fitina milele hadi ukafukuzwa kazi...the same goes for broken hearts.. sometimes tukumbuke 'the party before' dissapointment na kusema thank you..it was beautifull.......and that is pure class...

Mkuu this is superb ......

Tatizo letu ni kuwa tumefundishwa kuangalia mabaya zaidi ya mema

Kwa Casilas kuifungisha timu kungetufanya kuyaona hayo makosa sana kuliko mchango wake kwenye Euro [2008],World cup [2010] na hatimae Euro tena [2012] tungemuona kama msaliti sana

Hebu tujifunze kutazama mema sana badala ya mabaya na tutaweza kusonga mbele!
 
Ngumy kuipraktizi iyo......

Tatizo letu kubwa linaanzia hapa

Unaweza kuwa tu bibie unasema ni ngumu wakati hata hujajaribu

Lakini hata kama umejaribu,kuwa ngumu sio kigezo cha kuacha

Hebu fanya bana ...!!
 
Lingine
hatujipi muda wa kuzisoma,kuzielewa na kuzipa upekee hizo the party
yani kwa kuwa hatukuweza kuona sabsbu.ya kusema ahsante in this party.tunaingia kwenye party nyingine tukiwa bitter!so hata hiyo party mpya iweje na istahili vip kuambiwa ahsante ikijiishia tunabaki kusema ah nilijua tu si ndo.. wale wale and the like!

lakini pia wengi hatujijui ujue
usipojijua huwezi kujua kipi nani yupi alifanya nini kuambiwa thank you!
laiti tungekuwa tunajijua aseeee we wud hsve known kuwa daaaaah bila huyu mwehu anayenikera hapa sa hiz kuna kipindi ningesahau kucheka ni tendo linalohusisha kiungo gani kwenye mwili!

ila kuna hii ya matarajio makuuuuuuuuuuuuubwa!tunategemea vitu vikuuuuuubwa mpk dah!
matokeo yake tunakuwa disappointed sana wakati tungeweka mategemeo kidogo or rather tungeacha vitu vikuwe tu vyenyewe mambo ya Kmamae zako kwanza we nae ni mwanamke wa kuwa na mimi(hhhahahhahaha ana mwaka wa5 na huyo mwanamke )yasingekuwepo!
 
Most oftentimes in life, the bad outweighs the good.

I don't know why that is but that's just how it is.

You can do a gazillion good things but that one bad thing you do will likely define you for the longest if not for the rest of your life.

C'est la vie!
 
Back
Top Bottom