Hii ni 'pure class'...

Hii ni 'pure class'...

Aaaaaaaaaaaw! THANK YOU BABY WANGU, PIKO WA MOYO WANGU, MY LOVE, FRIEND, RELATIVE, PARTNER Matola for comming in my life! I will always love you, and you will have a special place in my heart always![/Q you will have a special place in my heart.
Una maana una watu wengine unawapa nafasi moyoni mwako, ila huyu unampa SPECIAL? Hiyo sasa sio michepuko. Kama ni mimi sitaki special nataka niwe peke yangu bila MIX
 
Mtuhumiwa bwana enhenhennrnhe
Mpk umbea wa mujhini tuna share,so akibug huku ntammiss tu kweny mpira wa Germany na Ghana akibug huku nampata kwenye kujadili single ya Diamond au picha cha Machemli mara-haki elimu au bajeti mradi masiku yanasogea tu,gari likizima tunasukuma wote mpk petrol station japo mi ntakuwa nategea tegea ila linafika tunaweka mafuta ndrukiiiiiiiiiiiii !


Ndiyo maana hili jamvi lilikuwa kama limepigwa nusu kaput....

Unawezaje kuwa na jamvi bila vichaa wake......?

Ubarikiwe sana mdogo wangu..
 
Ingawa inahusu world cup but inahusu hadi kwenye MMU .....Timu ya Spain ilikuwa ina mategemeo tele
kwa kila mshabiki wa timu hiyo....nin a uhakika wapo walioweka pesa za kamari kwa timu hiyo..mamilioni .wapo waliosafiri kutoka Spain hadi Brazil...na kulanguliwa tiketi za dola 90 kwa kuuziwa dola 1000...na kadhalika...kilichotokea kila mtu anakijua...wamepigwa 5-1,halafu 2-0...out....na walifungwa kizembe pia..kipa wao Cassilas alisababisha magoli kadhaa
kocha nae akamng'ang'ania mechi ya pili na wachezaji wengine huku akiacha wachezaji tele bench wenye vipaji..sasa

baada ya kufungwa na kutolewa kwa kipigo cha aibu nikawa najiuliza hasa mashabiki watakuwa na hasira kiasi gani kwa Cassilas na Kocha....na nini kitafuata.....je watawasulubu wachezaji na kocha? media zao zitasemaje?hasira zao zitatulizwa vipi?.......kilichotokea ndicho kilichonifurahisha....first mashabiki wamesikitika tu bila kutukana wala kulaumu sana..
.Media za kwao ndo kabisa....wameweka picha za timu yao huku vichwa vya habari vikisema tu 'the end' wengine waliandika 'thank you' 'it was beautiful' na kadhalika...magazeti na mshabiki kwa ujumla yalikuwa yanatoa shukrani kwa wachezaji kwa 'mafanikio ya Spain toka mwaka 2008 walipokuwa mabingwa wa Ulaya,2010 mabingwa wa dunia,2012 tena mabingwa wa ulaya...mwandishi mmoja alisema 'it was the end of the six years party' thank you.. hakuna aliejishughulisha na what is...or what could have been na kadhalika...watu hasa media wametoa tu shukrani kwa ujumla kwa timu hii kwa kipindi chote walichowapa furaha ya ushindi... mpaka siku ile party ilipoisha...pure class

Tunaweza kujifunza....kitu hapo iwe mahusiano ya mtu na mtu au mtu na taasisi....siku yakiisha no matter how dissapointed you are...angalau shukuru for the' party before' ...kuliko ku spend muda mwingi kulaumu,kutukana kulalamika about the dissapointment.......ukifukuzwa kazi shukuru tu.sema thank you ..it was beautifull..sio kuwalaani watu waliokufanyia fitina milele hadi ukafukuzwa kazi...the same goes for broken hearts.. sometimes tukumbuke 'the party before' dissapointment na kusema thank you..it was beautifull.......and that is pure class...
Thank you The Boss...nimejifunza kitu
 
Ndiyo maana hili jamvi lilikuwa kama limepigwa nusu kaput....

Unawezaje kuwa na jamvi bila vichaa wake......?

Ubarikiwe sana mdogo wangu..
hahahahahahahahaha nimekukumbusha mbali enh!
Ilikuwa raha sana kwa kweli!
 
hahahahahahahahaha nimekukumbusha mbali enh!
Ilikuwa raha sana kwa kweli!

Duuuuuuuuuuuhhhhhhhhhhh,

Watu mlikuwa mnajikunja bwana....

Kama ni lectures basi ilikuwa kama kila siku mtu anakutana na professorial inaugural lectures hapa JF, tena ndani ya MMU...!!

Basi tena, ni vizuri tukashukuru pia kwa hizo sherehe badala ya kulaumu kwa kupitiliza!
 
Duuuuuuuuuuuhhhhhhhhhhh,

Watu mlikuwa mnajikunja bwana....

Kama ni lectures basi ilikuwa kama kila siku mtu anakutana na professorial inaugural lectures hapa JF, tena ndani ya MMU...!!

Basi tena, ni vizuri tukashukuru pia kwa hizo sherehe badala ya kulaumu kwa kupitiliza!
Kwa kweeeeli Thank you the party!
Cc @gfsowin cacico Mtambuzi SnowBall Mr Rocky The Finest Fixed Point King'asti Kaunga Kongosho Boflo madame x Passion Lady Kaizer Asprin Nicas Mtei Mentor KOKUTONA Nyamayao mwaJ Kaka Kiiza amu nyumbakubwa BAK Zion Daughter farkhina watu8 Eiyer Sikonge Madame B EMT jouneGwalu dah hii list inavoendelea the party inazid kuwa alive aseee !
Miss you guys!
 
Last edited by a moderator:
Ila kwa kuwa this thread is so classy!
Ngoja nikumithi na we we!
Those madeys ya kummerge Dark City na Fixed Point!
Hahahahahahaha
Mwaaaaaa for that kaizer!

Unataka kuanza tena uchokozi wako na wewe?

Ila kuna wakati mtu ulikuwa unapata hisia za kemia fulani vile....ila kwa sababu ya ustaafu unakausha....

Ukimwona Fixed Point msalimie sana....

Babu kammiss sana aisee!!
 
Last edited by a moderator:
Unataka kuanza tena uchokozi wako na wewe?

Ila kuna wakati mtu ulikuwa unapata hisia za kemia fulani vile....ila kwa sababu ya ustaafu unakausha....

Ukimwona Fixed Point msalimie sana....

Babu kammiss sana aisee!!
Babuuuuuuu
Yale malalamiko yako ya ustaafu nilikuwa siiiiiina mbavu!
AK 47 ilikukatili sana aseee khaaaaa hiiiiiiiv hiiiiiiivi unanyanyasika?
Thank you for the party ,I had best of my times in JF kwa kweli
Mwaaaaaaah!
 
Last edited by a moderator:
Babuuuuuuu
Yale malalamiko yako ya ustaafu nilikuwa siiiiiina mbavu!
AK 47 ilikukatili sana aseee khaaaaa hiiiiiiiv hiiiiiiivi unanyanyasika?
Thank you for the party ,I had best of my times in JF kwa kweli
Mwaaaaaaah!

Ndo mambo gani tena na wewe snowhite....

Bwana ngoja nikaitike wito wa bibi....
 
Last edited by a moderator:
Nataka kuprove!

We babu Algeria wanefunga goli la NNE huku!
Nkuletee kiko au siku hiz unavuta shisha?


Unataka ushahidi gani zaidi ili uamini?

Algeria wanafunga ila bado wana matobo matobo kibao...

Ndo maana anataka kukimbia. Jana Ghana walinifanya nikalala njaa!!
 
Back
Top Bottom