Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 7,240
- 12,763
Alitoa na mtaji au aliishia kuwa mshenga wa kugawa ardhi?
wewe sio mzima kichwani.Alitoa na mtaji au aliishia kuwa mshenga wa kugawa ardhi?
Inategemea umesimama wapi wakati unaniangalia!Makengeza huwa hayatoi majibu stahiki.😂😂😂😂wewe sio mzima kichwani.
hivi ni kitu gani kinazuia bakhressa kuwa tajiri no 1 tanzania?
cc-mleta sledi.Mkimaliza muwashukuru wakoloni magavana waliosimamia ujenzi wa ikulu ya magogoni , reli , hospital , shule , ofisi za wakuu wa mikoa na wilaya (boma) , barabara, viwanda, mahakama na kadhalika.
Hawa siku yao ya kutambua kazi walizofanya ni lini.?
Miaka 6 unajivunia kakiwanda kamoja ambako Nako kamekailika kwa kuwezeshwa na awamu ya 6..
Yaani Tajiri apige kazi, aingize mtaji, alipe wafanyakazi, kisha credit ziende kwa rais kwa sababu kampa ardhi?
Kwa nini ampe mmoja na si wengi ili uwepo ushindani nchini?
Utaambiwa Inauzwa Nje Ya Nchi TuUkijibiwa uni tag mzee
Ova
Huo mradi ulikuwepo tangu miaka ya mwanzo ya Kikwete, JPM hata hausiki na chochote kile
Kabisa Wengi wamebaki Kusifia Magufuli tu.Huo mradi ulikuwepo tangu miaka ya mwanzo ya Kikwete, JPM hata hausiki na chochote kile
Na ikawaje ukawa hauzalishi? Ikawaje JPM akampa Bakhresa ardhi?Huo mradi ulikuwepo tangu miaka ya mwanzo ya Kikwete, JPM hata hausiki na chochote kile
Hizo habari za kushukuru ni zakoMkimaliza muwashukuru wakoloni magavana waliosimamia ujenzi wa ikulu ya magogoni , reli , hospital , shule , ofisi za wakuu wa mikoa na wilaya (boma) , barabara, viwanda, mahakama na kadhalika.
Hawa siku yao ya kutambua kazi walizofanya ni lini.?