Nafasi ya Kazi: Anayejua kuongea Kiingereza na Accent nzuri

pharao

JF-Expert Member
Jan 17, 2017
382
652
Nafasi ya kazi: Umri chini ya miaka 25, anayejua kusoma Kiingereza vizuri na ana English Accent nzuri ya uhakika.

Mshahara ni laki mbili na utaongezeka kulingana na ufanisi.

Akiwepo Wilaya ya Temeke ni vizuri zaidi. Wasiliana nasi kwa Whatsapp simu no 0626715721.
 
Acheni dharau, accent nzuri na grama iliyonyooka mshahara laki 2. Duh
 
Nafasi ya kazi: Umri chini ya miaka 25, anayejua kusoma Kiingereza vizuri na ana English Accent nzuri ya uhakika.

Mshahara ni laki mbili na utaongezeka kulingana na ufanisi.

Akiwepo Wilaya ya Temeke ni vizuri zaidi. Wasiliana nasi kwa Whatsapp simu no 0626715721.
Ulimsomesha wewee??
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom