Hii ni kwenu wasichana

Shida ya wanawake.. wanashindwa kuwasoma wanaume. Wanadhani wanavyowaza wao.. ndio tunavyo waza sisi... kumbe ni kinyume kabisa.... wanajikuta wanaishia kulalamika kutwa nzima.. mara wananune... inakera.. sometimes..
wanawake wanapenda sana kutoa taarifa na kupokea... Ndomana utakuta wanamaneno mengi na wanatumia muda mwingi kuzungumza gossip... Sasa hizo mood wanaume hatuna, sisi tunapenda utulivu, ndomana unakuta tunapishana
 
Swadakta leo kanitext eti bado upo dar [emoji28] told you atakuja mwenyewe after all being said and done
 
Wa hivi wapo ila mazingira utakayomuwekea lazima yambadilishe,yaan akiona unampenda sana anabadilika ghafla anakua jeuri sababu unampenda na anaamin huna ubavu wa kumuacha.

Limbwata linakuja pale unapochoka vituko vyake na kutaka kumpotezea ndipo anahaha kukurudisha kwa njia yoyote.
Aisee hao ndo wazuri ila wasiwe wasumbufu sana... Unajua mwanamke akiplay smart basi ni limbwata tosha, no need kwenda kwa sangoma
 
Umeongea kweli mwana, alafu kuna wale mademu wanaopenda kulaumu kila kitu, wao hawana jema... utakuta mnakaushiana alafu siku unakuja kumpigia simu anakulaumu kwanini hukumtafuta sikuzote, sasa unajiuliza kwani mwenye jukumu la kumtafuta ni mimi tu?
 
Alafu unakosea unapotenganisha mapenzi na utoto... Nani alikudanganya mapenzi hayahitaji utoto? Ivi ulishawahi kushinda chumbani na demu hata kwa siku moja? Huwa mnaamrishana au ?
 
Wanaume bhana !ukimpigia cm kila siku atasema anahitaji space na blah blah kibao ukikaa kimya utashangaa unaambiwa unakiburi sana kwann hupig simu?asa tufanyeje jamani
Tunahitaji upendo, Tunataka kila mtu ajue majukumu yakke, na tukifika nyumbani msitafute sababu za kugombana nasisi, bali muhakikishe mnatupoza uchovu wa kazini na kutugeia usingizi mzuriiii... Sio ukifika nyumbani tu loudspeaker inafunguliwa kelele mtindo mmoja
 
Kila mtu anahitaji space in life...men are not special katika hili.. shida ni kudate wenza wasiojielewa...hawajui kama saa hii mpenzi ako na shugli au ako free to communicate
Usituchukulie poa kabisa yani,
usitufananishe na nyinyi ujue,
sisi tunahitaji special treatment kutoka kwenu...
 
Na zisipojibiwa pia muwe waelewa, lawama lawama ndo zinatuchosha sisi, inakuwa mwanaume ukirudi nyumani unakutana na loudspeaker Kutwa kelele ... Perepepe zinatuboa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…