Hii ni kwenu wasichana

mi naongea na wewe uko bize unahema pumbavu pita hivi
 
Naunga mkono ukweli 100%
 
Mkuu ukiweka beats lazima umfunike darasa au madereva
 
Hahaha... ivi wanawake wa namna hiyo bado wapo??? Kama yupo nataka niweke booking
Wapo..ninaye mmoja..nakoma.
Nimeshamfokea kunipigia simu kama mdeni sugu..!lakini kichwa ngumu!sasa hivi uwa nazima simu kabsa.watu wa nguvu wananpa kwa namba ingine.ujinga sitaki.
 
Wapo..ninaye mmoja..nakoma.
Nimeshamfokea kunipigia simu kama mdeni sugu..!lakini kichwa ngumu!sasa hivi uwa nazima simu kabsa.watu wa nguvu wananpa kwa namba ingine.ujinga sitaki.
Haha labda hayo ndo wanayofundishwa Unyagoni... Manake si bure, skuizi ndo imekuwa fasheni mpaka mabetri yanaisha chaj asee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…