Hii ni kwa wanaume wenye vifua

Hii ni kwa wanaume wenye vifua

Napenda sana wanaume wenye Yale mavifua huwa nikiwaonaga napatwa na bumbuazi#hako ndiko kauzaifu kangu ila japo nimerizika na niliye naye jpo hana..##NIMEONA NIWAPE HONGERA NYIE WENYE MAJIFUA WOTEEE HONGERENI KWAKWELI.😉
😉🙂
abaa53b06ccfdf4736a544323c84bca3.jpg
nakuja PM.tutetee.[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Napenda sana wanaume wenye Yale mavifua huwa nikiwaonaga napatwa na bumbuazi#hako ndiko kauzaifu kangu ila japo nimerizika na niliye naye jpo hana..##NIMEONA NIWAPE HONGERA NYIE WENYE MAJIFUA WOTEEE HONGERENI KWAKWELI.😉
😉🙂
Asante sana, aisee tumeumia lakini kuvipata, havikuja tu just like that......ngoja niendelee kuongeza push-ups!
 
Duuh, ukimaliza kubeba vyuma km punda matako yakahamia kifuani kesho atakuambia anataka mwanaume mwenye upara, mara mwenye pesa, kesho kutwa mwenye kumlamba miguu bingwa wa foot fetish, mara mwanaume mkali katili. Kumridhisha mwanamke ni kazi kweli kweli. Hao mabaunsa wengi sio wote baadhi yao wana vibamia. Kama vile yanavyoisha makalio na asipo balance miguu hupungua, na dushee hupungua pia. Ukimsikiliza kila kitu ukajibadili kwa ajili yake mwisho utakuwa wa ajabu sana kama katuni ya Scooby Doo
 
Wanapendeza mno haswa wakivaa tishet wanapendeza balaa,hata nawapenda wakaka wa hivyo lakin sio wale mabaunsa hadi kero
 
Nafikiri huyo ulie nae ukimlalia kifuani ukiamka lazima mistari ya adidas ijichore shavuni kwako hahaaaaa.
 
Baba, katika jina la Yesu..!
tunakuomba utunyoshee mkono sisi viumbe dhaifu, tusiojua madhaifu, viumbe tusioridhika, tunajua Mungu baba, ulituumba sisi kwa mfano wako, kazi yako haina makosa, ulimuumba huyu asifanane na yule, ila kwa kusudi la kufanana na wewe..!
OoooH! shikalabababhosahhh!
Mungu tufungue macho ya rohoni tuweze kuwaona wale uliotuumbia kwa ajili yetu.. Ona sana watu hadi watu wanaanza kutamani vitu vya kijinga sasa! Baba inafikia wakati watu wanaanza kutamani vifua..!
Baba tunaomba neema yako ishuke mioyoni mwetu
amEn...
 
Back
Top Bottom