Hii ni kwa wanaume wenye vifua

Hii ni kwa wanaume wenye vifua

upload_2016-12-7_20-1-22-jpeg.443656
hqdefault.jpg


Dadad zangu mnanichekesha
hebi waambieni wavue bivyo vikaptula km hamkukuta '3 au '4
hebu bakini na haohao wanaowaridhisha
 
Napenda sana wanaume wenye Yale mavifua huwa nikiwaonaga napatwa na bumbuazi[HASHTAG]#hako[/HASHTAG] ndiko kauzaifu kangu ila japo nimerizika na niliye naye jpo hana..##NIMEONA NIWAPE HONGERA NYIE WENYE MAJIFUA WOTEEE HONGERENI KWAKWELI.😉
😉🙂
Nadhani udhaifu wako ni kutokutambua madhaifu yako.
BTW ujumbe umefika salama.
 
Ungedate mwenye kifua ili upate bumbuazi sasa unae huyu unatamani kwingine tena Jamani
 
Always mtu huwa anatamani kitua ambacho hana. Angedate na mwenye kifua kikubwa, angemtaman mwenye kifua kdg.
 
Napenda sana wanaume wenye Yale mavifua huwa nikiwaonaga napatwa na bumbuazi#hako ndiko kauzaifu kangu ila japo nimerizika na niliye naye jpo hana..##NIMEONA NIWAPE HONGERA NYIE WENYE MAJIFUA WOTEEE HONGERENI KWAKWELI.😉
😉🙂

mkumbushe apige push-up..300 asubuhi....300 jioni.....siku tatu akuwa ashapaua
 
Back
Top Bottom