Mbalamwezi1
JF-Expert Member
- Dec 20, 2013
- 2,073
- 2,027
Wakwako kifua flat skrini eenh!!Napenda sana wanaume wenye Yale mavifua huwa nikiwaonaga napatwa na bumbuazi#hako ndiko kauzaifu kangu ila japo nimerizika na niliye naye jpo hana..##NIMEONA NIWAPE HONGERA NYIE WENYE MAJIFUA WOTEEE HONGERENI KWAKWELI.😉
😉🙂
