Zanzibar2014
JF-Expert Member
- Nov 13, 2022
- 743
- 591
- Thread starter
- #81
Maana ya mngoni ni nini ??Njoo DM mngoni anakutafuta yuko Manchester!!!!
Pia yuko outside London ??
Maana ya mngoni ni nini ??Njoo DM mngoni anakutafuta yuko Manchester!!!!
Wewe usichanguwe pia beba tu, sawa.Ina maana umri huo haujui kutukana?Nani alikufundisha?Na wenyewe si uhuni?Acha kuchaguachagua mambo.Utakwama! 😂😂😂
Kuhusu nini ??ImeKuaje kwani?
Who me, naaaaDon't take everything personal.It will probably haunt you.
Don't take everything personal.It will probably haunt you
What is that ??
Kwa jinsi ulivyo andika ulikua na hali flani hvi ambayo nikiifikilia nakua very sad😥😥😥What is that ??
Sad for what ??Kwa jinsi ulivyo andika ulikua na hali flani hvi ambayo nikiifikilia nakua very sad😥😥😥
MmmmmhhhhSingo maza mkubwa wew ! Pasuka sas
Sas ni nini ??Singo maza mkubwa wew ! Pasuka sas
KutukanaIna maana umri huo haujui kutukana?Nani alikufundisha?Na wenyewe si uhuni?Acha kuchaguachagua mambo.Utakwama! 😂😂😂
Walize wao mimi pia sielewi nao wananiattak bila sababuImeKuaje kwani?
Naturidi pale pale kama mtu kakosea mwambie sio mashambuliziImeKuaje kwani?
Siwafahamu kabisa labda culture tofauti au kutofahamiana lughaImeKuaje kwani?
Kutukana nini ??Ina maana umri huo haujui kutukana?Nani alikufundisha?Na wenyewe si uhuni?Acha kuchaguachagua mambo.Utakwama! 😂😂😂
Njooo 😂🤣Njoo DM mngoni anakutafuta yuko Manchester!!!!
Sorry lakini unawaelewa, mimi siwafahamu kabisa. Sijui lugha au culture tofauti. Niwanafiki mnoooo, sasa kama nimesema kitu sivyo au nimekosea si waseme tu but wananituka sasa.Watu wa hivyo wengi wao hua wana stress za maisha tu,hasira zao wanazimalizia kwa wengine wakifikiri kua hiyo ndio njia ya kutatua matatizo yao.
Zanzibar2014