Mungu anakuona na anakuona TenaUandishi wako umefanana na Unique Flower ..
Nimepata shoo hatujui kupanga maneno yakaeleweka wamekufanyaje matahira wa humu niambie nimsodoe nimnyee huyo shuwain humu ukiwapata watu wanaokuudhi tukana mpaka basi mpe Yale ya moyoni watu humu wanakuonea Gere unajitambua wanaotaka uwape na hawana hela humu ni maleLe mama wanaotaka Cha Bure wanatunzwa Malaya hao .Najua kusema ni uhuru wa kila mtu lakini wanaume wengine mmezidi kukejeli wanawake humu. Sijapata kuona kabisa hamjui kutuheshimu kabisa.
Sasa kama mtu ana matwaka yake, nyinyi yanakujereni nini? Mnapenda kukosoa mno, siyo kuuliza mkajibiwa, ujuaji mwingi tu. Kama ya kwenu manayaweza.
Kwani maana ya hili jukwaa ni nini, si kila mtu anafanya anavyosisikia, muhimu havunji sheria tu? Na ambao siyo waoaji tunakujueni tu, siyo lazima kututukana na kutuhukumu.
Hili liko pande zote, kwa wanawake na wanaume..!!Lakini hilo nimeliona baadhi ya wanaume wanakejeli mnooo wanawake sio vizuri.
NikweliLakini hilo nimeliona baadhi ya wanaume wanakejeli mnooo wanawake sio vizuri.
Umemshauri vyema kabisa, lakini hakuna namna atakaa aweze kuifuta, maake hakuna bottom ya delete account kwenye website ya jfIla wanawake mnaipenda mitandao ya kijamii but ndio chanzo cha stress zenu na kuibua ya siyo na ulazima kwenye maisha yenu, mwataka kila mkionacho humo basi muendane nacho!!, social media sio kitu cha kukiweka akilini, uyaonayo huko beba lililo positive kwenye maisha yako but negative tupa kule!!, am not sure BT nahisi humu unatafuta stress za bure the way you act !!, ushauri wangu kwako kama itakupendeza, usiyaweke akilini ya humu ukishindwa futa hii account ya jf endelea na maisha yako usijitafutie msongo wa mawazo wa bure. Sorry kama ushauri wa utakuwaza!!
Umemaliza. Ktk kitu ambacho hakita nipa stress ni mtu kunijudge au kunitusi au sijui kunifanyaje humu eti nikapoteza amani. Yani mi maisha ya humu nayachukulia kama naangalia movie wahusika siwajui na wao hawanijui.You take things at heart sana mkuu. Hamna jambo personal humu. La kukusaidia along the road beba. Usilotka liache. Hata udhihakiwe vipi. Hata tukukejeli vipi. As long as unajijua wewe mwenyewe na walio karibu yako wanautambua umuhimu wako its enough. Kula vizuri, exercise kimtindo, get enough air, peruz kidogo..cheka kidogo, sali pia. Inatosha. Mpende akupendae asiekupenda mpende pia 🤣.
[emoji23][emoji23][emoji23] Umenena vyema mkuuSista, hivi unajua hili jukwaa wanaume wasingeanzisha thread lingekuwa limepoa sana maana ndio wapo wengi sana. Pia zipo mada zilizowakejeli wanaume pia, ila it's just a social media platform ila unataka ubebe grudge juu ya nani sasa wakati watu karibia wote huwajui humu. Ukiambiwa watu wengi humu wanandoa nazinaenda fresh tu hutaamini sema huku ni just social media huishi humu. A social media is a place where you can insult your professor without getting caught, ni mtandao wa kijamii wa kuchat tu[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23] Huyu anatupiga tu. Kwani jf huko London inakamata fresh? [emoji23] (Natania tu)Watu wa Zanzibar kwa michambo.... Mnaendeleaje lakini huko London
Sent from my CPH2095 using JamiiForums mobile app
👍👍Nikweli
Kwa kweliHili liko pande zote, kwa wanawake na wanaume..!!
Watasubiri mnooo na kwa kweli hawanipi tabu lakini nimeona niseme na sio powa kabisa.Nimepata shoo hatujui kupanga maneno yakaeleweka wamekufanyaje matahira wa humu niambie nimsodoe nimnyee huyo shuwain humu ukiwapata watu wanaokuudhi tukana mpaka basi mpe Yale ya moyoni watu humu wanakuonea Gere unajitambua wanaotaka uwape na hawana hela humu ni maleLe mama wanaotaka Cha Bure wanatunzwa Malaya hao .
Kwanza wazeee zile mita zao zimelegea sijapata wakuvuana humu niliwachunguza nikajua ni mappp yamelegea unajua Yale makitu magumu magumu kulegea ndio hayooo
Nimekusikia lakini sio sawa kukejeli kabla ya kuuliza na kujua kwanza.Hili liko pande zote, kwa wanawake na wanaume..!!
Siko na watu wa nyumbani na wala sio mchambaji kabisa mimi ni mpole mnooo.Watu wa Zanzibar kwa michambo.... Mnaendeleaje lakini huko London
Sent from my CPH2095 using JamiiForums mobile app
Na wewe ukoje ??Watu wa Zanzibar kwa michambo.... Mnaendeleaje lakini huko London
Sent from my CPH2095 using JamiiForums mobile app
Fanyeni mtakavyo lakini sio sawa kumkejeli mtu, ungwana uliza ujibiwe, hiyo ndio point yangu.Sista, hivi unajua hili jukwaa wanaume wasingeanzisha thread lingekuwa limepoa sana maana ndio wapo wengi sana. Pia zipo mada zilizowakejeli wanaume pia, ila it's just a social media platform ila unataka ubebe grudge juu ya nani sasa wakati watu karibia wote huwajui humu. Ukiambiwa watu wengi humu wanandoa nazinaenda fresh tu hutaamini sema huku ni just social media huishi humu. A social media is a place where you can insult your professor without getting caught, ni mtandao wa kijamii wa kuchat tu[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Chengine sikusema wanaume wote, tafadhali soma vizuri kabla ya kujibu kwanza.Sista, hivi unajua hili jukwaa wanaume wasingeanzisha thread lingekuwa limepoa sana maana ndio wapo wengi sana. Pia zipo mada zilizowakejeli wanaume pia, ila it's just a social media platform ila unataka ubebe grudge juu ya nani sasa wakati watu karibia wote huwajui humu. Ukiambiwa watu wengi humu wanandoa nazinaenda fresh tu hutaamini sema huku ni just social media huishi humu. A social media is a place where you can insult your professor without getting caught, ni mtandao wa kijamii wa kuchat tu[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Sitaki kubeba chochote na nilo walenga wanajuwa na sio ndowa za watu.Sista, hivi unajua hili jukwaa wanaume wasingeanzisha thread lingekuwa limepoa sana maana ndio wapo wengi sana. Pia zipo mada zilizowakejeli wanaume pia, ila it's just a social media platform ila unataka ubebe grudge juu ya nani sasa wakati watu karibia wote huwajui humu. Ukiambiwa watu wengi humu wanandoa nazinaenda fresh tu hutaamini sema huku ni just social media huishi humu. A social media is a place where you can insult your professor without getting caught, ni mtandao wa kijamii wa kuchat tu[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app