Hii ni kwa wanaume wanaonyanyasa wanawake

Hii ni kwa wanaume wanaonyanyasa wanawake

Watu wa hivyo wengi wao hua wana stress za maisha tu,hasira zao wanazimalizia kwa wengine wakifikiri kua hiyo ndio njia ya kutatua matatizo yao.
Zanzibar2014
 
Sista, hivi unajua hili jukwaa wanaume wasingeanzisha thread lingekuwa limepoa sana maana ndio wapo wengi sana. Pia zipo mada zilizowakejeli wanaume pia, ila it's just a social media platform ila unataka ubebe grudge juu ya nani sasa wakati watu karibia wote huwajui humu. Ukiambiwa watu wengi humu wanandoa nazinaenda fresh tu hutaamini sema huku ni just social media huishi humu. A social media is a place where you can insult your professor without getting caught, ni mtandao wa kijamii wa kuchat tu[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
Vile vile unasema kwanza nijifunze ndio nijibu kwa hiyo unataka nambia nisijibu mtu mpaka nijifunze. Ili nioneka nina tharau watu maoni yao. Kama sio mnyanyasaji ungenifahamisha kwa ustarabu tu sijakataa kujifunza.
 
Watu wa hivyo wengi wao hua wana stress za maisha tu,hasira zao wanazimalizia kwa wengine wakifikiri kua hiyo ndio njia ya kutatua matatizo yao.
Zanzibar2014
Nimewaona na la kusema sina lakini nimejifunza kabla ya kwenda nyumbani.

Kidogo sasa nimefahamu Watanzania wezangu, kuwa huku niliko sikonao kwa hiyo baadhi ya tabia nimeshasahau/sizijui. 🙏🙏
 
Ila wanawake wenzio wana-enjoy shoo😁 na huwaambii kitu kuhusu hili jukwaa.

Hata wewe ni suala la muda tu, utazoea na kuanza kufurahia.
Ukiona unauliza na kutoa dukuduku badala ya kukimbia, basi jua kwamba you are here to stay.
Mwishoni utaona kwamba hata wale uliokuwa unawashgaa ni wa kawaida tu maana mambo ya huku jukwaani huwa yanabaki huku huku.
Mimi naongelea kuhukumiwa na kukejeliwa mimi, kama mtu hajui uliza kuliko ujuwaji mwingi wakati pengine yao yanawashinda.

Na mimi sijauliza wala kutoa dukuduka lakini nimesema niliyoyaona na wala sitoyazoweya.
Kwa hiyo nimeomba tayari kutoka na waifute au wanijuze vipi nifute account yangu sasa.
 
Back
Top Bottom