Ila wanawake mnaipenda mitandao ya kijamii but ndio chanzo cha stress zenu na kuibua ya siyo na ulazima kwenye maisha yenu, mwataka kila mkionacho humo basi muendane nacho!!, social media sio kitu cha kukiweka akilini, uyaonayo huko beba lililo positive kwenye maisha yako but negative tupa kule!!, am not sure BT nahisi humu unatafuta stress za bure the way you act !!, ushauri wangu kwako kama itakupendeza, usiyaweke akilini ya humu ukishindwa futa hii account ya jf endelea na maisha yako usijitafutie msongo wa mawazo wa bure. Sorry kama ushauri wa utakuwaza!!