Nyotinzuri
Senior Member
- Mar 17, 2017
- 135
- 200
Subiri 40 yako tu mkuu, usiache kula buyu la asali ila ikifka ile 40 ndio hamu itakata kabsaaa
Usiseme hivyo jamani ukaja angusha watu kwa pressure!![emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kula 5 mkuu ushauri wako mzuri sana Mungu akubarikiNgoja Mimi nikushauri.
Huyo binti achana naye.
Atakusababishia matatizo ambayo utayajutia milele.
Yule ameolewa na wewe tafuta mke,
Siku mwanaume wake akijua ni hatari sana.
Wewe si umesema una "mtu wako" pia? Muoe huyu mtu wako uwe na wawili ili ufaidi zaidi.Wanajamvi heshima kwenu!
Nijikite kwenye mada moja kwa moja, ni hivi yupo binti mmoja aliyekuwa rafiki yangu lakini tukajikuta tumeingia kwenye mahusiano, naweza sema hayakuwa rasmi kwani kila mtu alikuwa na mtu wake!
Ilifika mahali huyu binti akawa anakuja kwangu muda wowote niwapo na yeye akiwa yupo free, then mambo mazito ya kiutu uzima yanafuata!
Hali hii iliendelea na alikuwa akinitamkia wazi kabisa japo ana mchumba wake lakini akiolewa mwendo ni huo huo, kamwe hatoacha kuja kwangu au kutoka na mimi...
Alikuwa akirudia mara kwa mara lakini nikawa nampa tahadhari!
Kwa sasa ni miezi minne imeisha tokea afunge ndoa na mme wake, lakini yale maneno aliyoniambia ameamua kuyasimamia hivyo amekuwa akitaka kukutana na mimi mara kwa mara na wakati mwingine anaweza niuliza kama nipo home na nafanya nini, nikimpa jibu linaloonyesha npo mwenyewe na sina ishu sana basi huyoo anakuja!
Kwa sasa kiukweli ndio amezidisha, ikitokea mmewe hayupo kasafiri huwa sometime anafungulia kabisa anaweza shinda kwangu...
Kwa msisitizo anasema lazima amwibie.... wangu tu haachi!
Hivi wana MMU, humu kuna mwanamke mwenye tabia kama za huyu, au kuna mwanaume ashawahi kukutana na mwanamke wa aina hii...[emoji15][emoji15]
Wow,[emoji109] [emoji109] [emoji109] [emoji109] [emoji109] .Kula 5 mkuu ushauri wako mzuri sana Mungu akubariki
Muulize ameolewa kwa Shinikizo la Wazazi au Alikula Mali ya Huyo Mkaka kwa ahadi ya Kuolewa naye au? Na Kama aliolewa kwa kulazimisha si bora angekataa. Yaani kwa anachokifanya hata kupika nyumbani hapiki.. Hawa ndiyo wale wanawake ambao wao wanafua Dry Cleaner, Wanakula Hotelini, na Wanalala Hoteli wao kutandika Kitanda chao hawajui..Wanajamvi heshima kwenu!
Nijikite kwenye mada moja kwa moja, ni hivi yupo binti mmoja aliyekuwa rafiki yangu lakini tukajikuta tumeingia kwenye mahusiano, naweza sema hayakuwa rasmi kwani kila mtu alikuwa na mtu wake!
Ilifika mahali huyu binti akawa anakuja kwangu muda wowote niwapo na yeye akiwa yupo free, then mambo mazito ya kiutu uzima yanafuata!
Hali hii iliendelea na alikuwa akinitamkia wazi kabisa japo ana mchumba wake lakini akiolewa mwendo ni huo huo, kamwe hatoacha kuja kwangu au kutoka na mimi...
Alikuwa akirudia mara kwa mara lakini nikawa nampa tahadhari!
Kwa sasa ni miezi minne imeisha tokea afunge ndoa na mme wake, lakini yale maneno aliyoniambia ameamua kuyasimamia hivyo amekuwa akitaka kukutana na mimi mara kwa mara na wakati mwingine anaweza niuliza kama nipo home na nafanya nini, nikimpa jibu linaloonyesha npo mwenyewe na sina ishu sana basi huyoo anakuja!
Kwa sasa kiukweli ndio amezidisha, ikitokea mmewe hayupo kasafiri huwa sometime anafungulia kabisa anaweza shinda kwangu...
Kwa msisitizo anasema lazima amwibie.... wangu tu haachi!
Hivi wana MMU, humu kuna mwanamke mwenye tabia kama za huyu, au kuna mwanaume ashawahi kukutana na mwanamke wa aina hii...[emoji15][emoji15]
Mkuu ilibidi useme be the Joseverest to comment.Be the first to comment [emoji23][emoji23][emoji23]
Subiria ushikwe na mumewe utenguliwe uti wa mgongo ndio utajua kwamba mke wa mtu ni sumu.Wanajamvi heshima kwenu!
Nijikite kwenye mada moja kwa moja, ni hivi yupo binti mmoja aliyekuwa rafiki yangu lakini tukajikuta tumeingia kwenye mahusiano, naweza sema hayakuwa rasmi kwani kila mtu alikuwa na mtu wake!
Ilifika mahali huyu binti akawa anakuja kwangu muda wowote niwapo na yeye akiwa yupo free, then mambo mazito ya kiutu uzima yanafuata!
Hali hii iliendelea na alikuwa akinitamkia wazi kabisa japo ana mchumba wake lakini akiolewa mwendo ni huo huo, kamwe hatoacha kuja kwangu au kutoka na mimi...
Alikuwa akirudia mara kwa mara lakini nikawa nampa tahadhari!
Kwa sasa ni miezi minne imeisha tokea afunge ndoa na mme wake, lakini yale maneno aliyoniambia ameamua kuyasimamia hivyo amekuwa akitaka kukutana na mimi mara kwa mara na wakati mwingine anaweza niuliza kama nipo home na nafanya nini, nikimpa jibu linaloonyesha npo mwenyewe na sina ishu sana basi huyoo anakuja!
Kwa sasa kiukweli ndio amezidisha, ikitokea mmewe hayupo kasafiri huwa sometime anafungulia kabisa anaweza shinda kwangu...
Kwa msisitizo anasema lazima amwibie.... wangu tu haachi!
Hivi wana MMU, humu kuna mwanamke mwenye tabia kama za huyu, au kuna mwanaume ashawahi kukutana na mwanamke wa aina hii...[emoji15][emoji15]
mkuu unajua utam ea mke/mme wa mtu???Ngoja Mimi nikushauri.
Huyo binti achana naye.
Atakusababishia matatizo ambayo utayajutia milele.
Yule ameolewa na wewe tafuta mke,
Siku mwanaume wake akijua ni hatari sana.
Sorry mkuu.Hapana, mimi ni mwanaume,
mkuu uwe unajaribu kusoma vizuri...hujaona hapo nimemquote ameandika AU KUNA mwanaume ashawahi kukutana na mwanamke wa aina hii...!!!!
Usikurupuke uwe unasoma kwa makini...mimi nilivyomquote nilisoma kiundani na nilimuelewa