Hii ni hatari, huyu mwanamke atazua balaa!

Nilidhani unaomba msaada umuepuke vipi ili usije kutatuliwa rindaz? Kumbe unaulizia uwepo wa hiyo kitu? Owky utamu mwema mkuu ila andaa na ky!
 
Wanajamvi heshima kwenu!
Nijikite kwenye mada moja kwa moja, ni hivi yupo binti mmoja aliyekuwa rafiki yangu lakini tukajikuta tumeingia kwenye mahusiano, naweza sema hayakuwa rasmi kwani kila mtu alikuwa na mtu wake!
Ilifika mahali huyu binti akawa anakuja kwangu muda wowote niwapo na yeye akiwa yupo free, then mambo mazito ya kiutu uzima yanafuata!
Hali hii iliendelea na alikuwa akinitamkia wazi kabisa japo ana mchumba wake lakini akiolewa mwendo ni huo huo, kamwe hatoacha kuja kwangu au kutoka na mimi...
Alikuwa akirudia mara kwa mara lakini nikawa nampa tahadhari!

Kwa sasa ni miezi minne imeisha tokea afunge ndoa na mme wake, lakini yale maneno aliyoniambia ameamua kuyasimamia hivyo amekuwa akitaka kukutana na mimi mara kwa mara na wakati mwingine anaweza niuliza kama nipo home na nafanya nini, nikimpa jibu linaloonyesha npo mwenyewe na sina ishu sana basi huyoo anakuja!
Kwa sasa kiukweli ndio amezidisha, ikitokea mmewe hayupo kasafiri huwa sometime anafungulia kabisa anaweza shinda kwangu...
Kwa msisitizo anasema lazima amwibie.... wangu tu haachi!
Hivi wana MMU, humu kuna mwanamke mwenye tabia kama za huyu, au kuna mwanaume ashawahi kukutana na mwanamke wa aina hii...[emoji15][emoji15]
Wapo
 
Ngoja Mimi nikushauri.
Huyo binti achana naye.
Atakusababishia matatizo ambayo utayajutia milele.
Yule ameolewa na wewe tafuta mke,
Siku mwanaume wake akijua ni hatari sana.
Ushauri mzuri lakini nivigum kutekeleza,niulize mm
 
Siku utakapo fumaniwa, utaita maji mma
 
Wanajamvi heshima kwenu!
Nijikite kwenye mada moja kwa moja, ni hivi yupo binti mmoja aliyekuwa rafiki yangu lakini tukajikuta tumeingia kwenye mahusiano, naweza sema hayakuwa rasmi kwani kila mtu alikuwa na mtu wake!
Ilifika mahali huyu binti akawa anakuja kwangu muda wowote niwapo na yeye akiwa yupo free, then mambo mazito ya kiutu uzima yanafuata!
Hali hii iliendelea na alikuwa akinitamkia wazi kabisa japo ana mchumba wake lakini akiolewa mwendo ni huo huo, kamwe hatoacha kuja kwangu au kutoka na mimi...
Alikuwa akirudia mara kwa mara lakini nikawa nampa tahadhari!

Kwa sasa ni miezi minne imeisha tokea afunge ndoa na mme wake, lakini yale maneno aliyoniambia ameamua kuyasimamia hivyo amekuwa akitaka kukutana na mimi mara kwa mara na wakati mwingine anaweza niuliza kama nipo home na nafanya nini, nikimpa jibu linaloonyesha npo mwenyewe na sina ishu sana basi huyoo anakuja!
Kwa sasa kiukweli ndio amezidisha, ikitokea mmewe hayupo kasafiri huwa sometime anafungulia kabisa anaweza shinda kwangu...
Kwa msisitizo anasema lazima amwibie.... wangu tu haachi!
Hivi wana MMU, humu kuna mwanamke mwenye tabia kama za huyu, au kuna mwanaume ashawahi kukutana na mwanamke wa aina hii...[emoji15][emoji15]
We jamaa uko kwenye RISK,

Tamaa mbele,,,,,,,, ,

Najua kuna watu watakupongeza hapa, ila yakikukuta hao hao watasema jamaa hakuwa makini au watakugeuka na kukwambia ulizidi, wengine watasema za mwiz 40,

Alafu kumbuka kuna app kibao za kudukua habari zako na mwenzio,

Mwenye mali akiwa mwana CIA mzuri, utapotea na kumwacha mkeo/mchumba rehani,

Najua hii dhambi wengi tuliitenda ila kwa bahati mbaya, ila wewe hujachelewa achana naye huyo,

Usiingoje ile kauli ya "NINGEJUA"
 
We endelea tu ila siku ukipakwa mafuta ulete mrejesho
 
Hatari sana mkuu we ndo mwanaume inabidi iongoze akili ya huyo mwanamke we unaridhikaje mke wa watu anakuja kwako hadi anajisahau, hauko salama.mkuu maisha yako yako hatarini sana,
 
ha haha na demu wako kuna sehemu naye anaipeleka kwenye sahani .. si mnasemaga malipo hapa hapa duniani asante karibu tena

ha ha ha ha ha... kitu kwenye sinia watu wanajinoma haswa.. haswa.. "wat goes around comes around!"
 
Mimi nasubiri mrejesho wa kutolewa marenda tu.[emoji111]

Ndukiiiii[emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom