Hii ni hatari, huyu mwanamke atazua balaa!

Ngoja Mimi nikushauri.
Huyo binti achana naye.
Atakusababishia matatizo ambayo utayajutia milele.
Yule ameolewa na wewe tafuta mke,
Siku mwanaume wake akijua ni hatari sana.
Free P haijawahi kumuacha mtu salama!
 
Ngoja uje kuzibuliwa chemba ya ruvu juu ndiyo utamwona mke wa mtu kama mwanaume mwenzio.

Achana naye huyo na uhame hapo unapoishi kisirisiri na backlist namba yake
 
Wanajamvi heshima kwenu!
Nijikite kwenye mada moja kwa moja, ni hivi yupo binti mmoja aliyekuwa rafiki yangu lakini tukajikuta tumeingia kwenye mahusiano, naweza sema hayakuwa rasmi kwani kila mtu alikuwa na mtu wake!
Ilifika mahali huyu binti akawa anakuja kwangu muda wowote niwapo na yeye akiwa yupo free, then mambo mazito ya kiutu uzima yanafuata!
Hali hii iliendelea na alikuwa akinitamkia wazi kabisa japo ana mchumba wake lakini akiolewa mwendo ni huo huo, kamwe hatoacha kuja kwangu au kutoka na mimi...
Alikuwa akirudia mara kwa mara lakini nikawa nampa tahadhari!

Kwa sasa ni miezi minne imeisha tokea afunge ndoa na mme wake, lakini yale maneno aliyoniambia ameamua kuyasimamia hivyo amekuwa akitaka kukutana na mimi mara kwa mara na wakati mwingine anaweza niuliza kama nipo home na nafanya nini, nikimpa jibu linaloonyesha npo mwenyewe na sina ishu sana basi huyoo anakuja!
Kwa sasa kiukweli ndio amezidisha, ikitokea mmewe hayupo kasafiri huwa sometime anafungulia kabisa anaweza shinda kwangu...
Kwa msisitizo anasema lazima amwibie.... wangu tu haachi!
Hivi wana MMU, humu kuna mwanamke mwenye tabia kama za huyu, au kuna mwanaume ashawahi kukutana na mwanamke wa aina hii...[emoji15][emoji15]
hata wako nae analiwa we kula tu mkuu
 
USICHEZE NA MKE WA MTU, HIVI HAKUNA WANAWAKE WENGINE HUKO MTAANI HADI UCHUKUE MKE WA MTU, YATAKAYOKUPATA USIJE KULIA WALA KUMLAUMU MTU
 
Habari kama hizi nishazishuhudia sana, wengine huenda mbali hadi kuzaa, yaani lazima apate chata ya huyo anayempenda.

BTW mapenzi na best friend huwa yananoga sana.

zipo mno mno! kuna mdada kazaa na mpnzi wake na yupo ndan ya ndoa kila wknd anaenda hotel fulan na mtoto yaan copy na baba jhuyo mtoto! huwa najiuliza kwann usuiolew na tu hyo sasa! had kuzaa???alafu wanawake weng sana wanazaa nje aic yaan weng mnooo wanazaa na michepuko! mh shida ipo! watu wana roho ngumu saaaaana
 
wapo wengi tu wenye tabia km hizo ishu inakuja kwenye KUKAMATWA KILA MTU ANAKAMATWA KIVYAKE NA ADHABU ZINATOFAUTIANA ....SIUNAJAZA IKIFIKA KUJAZWA NDO UTAIJUA JUNEJULY
Hapo kukamatwa ndipo pana watesa wengi...
 
"Hivi wana MMU, humu kuna mwanamke mwenye tabia kama za huyu, au kuna MWANAUME ashawahi kukutana na mwanamke wa aina hii"

Wapo wengi sana mimi mwenyewe mmoja wapo..ila kuwa makini sana mkuu, ishu ikija kubumburuka utakuwa matatani
Mkuu, kumbe umo...
Wee nawe unachepuka[emoji23]
 
Ila nyie sio waoga jamaan msijiachie kihivyo na wewe unapenda ebu kuwa mkali we ni mwanaume
 
Wanajamvi heshima kwenu!
Nijikite kwenye mada moja kwa moja, ni hivi yupo binti mmoja aliyekuwa rafiki yangu lakini tukajikuta tumeingia kwenye mahusiano, naweza sema hayakuwa rasmi kwani kila mtu alikuwa na mtu wake!
Ilifika mahali huyu binti akawa anakuja kwangu muda wowote niwapo na yeye akiwa yupo free, then mambo mazito ya kiutu uzima yanafuata!
Hali hii iliendelea na alikuwa akinitamkia wazi kabisa japo ana mchumba wake lakini akiolewa mwendo ni huo huo, kamwe hatoacha kuja kwangu au kutoka na mimi...
Alikuwa akirudia mara kwa mara lakini nikawa nampa tahadhari!

Kwa sasa ni miezi minne imeisha tokea afunge ndoa na mme wake, lakini yale maneno aliyoniambia ameamua kuyasimamia hivyo amekuwa akitaka kukutana na mimi mara kwa mara na wakati mwingine anaweza niuliza kama nipo home na nafanya nini, nikimpa jibu linaloonyesha npo mwenyewe na sina ishu sana basi huyoo anakuja!
Kwa sasa kiukweli ndio amezidisha, ikitokea mmewe hayupo kasafiri huwa sometime anafungulia kabisa anaweza shinda kwangu...
Kwa msisitizo anasema lazima amwibie.... wangu tu haachi!
Hivi wana MMU, humu kuna mwanamke mwenye tabia kama za huyu, au kuna mwanaume ashawahi kukutana na mwanamke wa aina hii...[emoji15][emoji15]
It seems unajiona kidume kuziba wake za watu, huo ni utoto na ungese mkubwa siku ukiotewa ukapigwa suxamethonium ndo utajua mke wa mtu sumu!
 
Ngoja Mimi nikushauri.
Huyo binti achana naye.
Atakusababishia matatizo ambayo utayajutia milele.
Yule ameolewa na wewe tafuta mke,
Siku mwanaume wake akijua ni hatari sana.
Me nina wangu, na huyu mwanamke anamjua na nilimuonyesha kabisa kabla!
Akaniambia sawa lakini kuniacha haniachi na hataki nimuoe yeye kwa kuwa hakutaka nivunje uhusiano wangu..
Anachotaka ni kuendelea kula nami msos night tu baaaas...
 
Habari kama hizi nishazishuhudia sana, wengine huenda mbali hadi kuzaa, yaani lazima apate chata ya huyo anayempenda.

BTW mapenzi na best friend huwa yananoga sana.
Ndio huko anaenda, na hivi sasa ana mimba ninahisi nshategewa, ngoja mwez wa 11 si mbali chata itasema!
 
zipo mno mno! kuna mdada kazaa na mpnzi wake na yupo ndan ya ndoa kila wknd anaenda hotel fulan na mtoto yaan copy na baba jhuyo mtoto! huwa najiuliza kwann usuiolew na tu hyo sasa! had kuzaa???alafu wanawake weng sana wanazaa nje aic yaan weng mnooo wanazaa na michepuko! mh shida ipo! watu wana roho ngumu saaaaana
Usiseme hivyo jamani ukaja angusha watu kwa pressure!![emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom