Hii ni hatari, huyu mwanamke atazua balaa!

Hii ni hatari, huyu mwanamke atazua balaa!

Wanajamvi heshima kwenu!
Nijikite kwenye mada moja kwa moja, ni hivi yupo binti mmoja aliyekuwa rafiki yangu lakini tukajikuta tumeingia kwenye mahusiano, naweza sema hayakuwa rasmi kwani kila mtu alikuwa na mtu wake!
Ilifika mahali huyu binti akawa anakuja kwangu muda wowote niwapo na yeye akiwa yupo free, then mambo mazito ya kiutu uzima yanafuata!
Hali hii iliendelea na alikuwa akinitamkia wazi kabisa japo ana mchumba wake lakini akiolewa mwendo ni huo huo, kamwe hatoacha kuja kwangu au kutoka na mimi...
Alikuwa akirudia mara kwa mara lakini nikawa nampa tahadhari!

Kwa sasa ni miezi minne imeisha tokea afunge ndoa na mme wake, lakini yale maneno aliyoniambia ameamua kuyasimamia hivyo amekuwa akitaka kukutana na mimi mara kwa mara na wakati mwingine anaweza niuliza kama nipo home na nafanya nini, nikimpa jibu linaloonyesha npo mwenyewe na sina ishu sana basi huyoo anakuja!
Kwa sasa kiukweli ndio amezidisha, ikitokea mmewe hayupo kasafiri huwa sometime anafungulia kabisa anaweza shinda kwangu...
Kwa msisitizo anasema lazima amwibie.... wangu tu haachi!
Hivi wana MMU, humu kuna mwanamke mwenye tabia kama za huyu, au kuna mwanaume ashawahi kukutana na mwanamke wa aina hii...[emoji15][emoji15]

Swali lako halina lengo, maana ukijibiwa ndio au hapana itakusaidia nini? hujaonyesha nia ya kumwacha, sasa ndugu mimi nakufahamu fika, kuna siku tumeshawasiliana kwa simu, mimi nitachunguza unapokaa nimjue huyo Dada, then nitachunguza anapokaa, halafu nitaaribu, haiwezekani kila siku mlete mada za kuonea watu waliiooa bila kuonyesha masikitiko au kuikataaa hiyo tabia.
 
Kimbia hatari kabla haijawa na matokeo hasi......
 
Chuma huliwa na Kutu, Cha mtu huliwa na Mtu na Tigo wanatuambia Jazaaaaaaaaaa UJAZWEEEEEEEEEEE. Ukinielewa apo Utajua km Uendelee ama Usiendelee kua na Uyo the so called Malaya
 
Unadhani wanaosema oa bikra ujifungulie mwenyewe wanaimbaga nyimbo? Nawewe utapigiwa tu!
 
Nakumbuka kuna dada huyo alining'ang'ania,alinisumbua hadi nilifikia hatua ya kubadili namba kwa usalama wa ndoa yake,kuna kipindi mumewe alikuta email alizonitumia mkewe ambazo nilikuwa zisijibu lakini nilionekana mbaya mimi yule jamaa aliniandikia barua pepe yenye matusi ya kila namna bila hta kuwa na ushahidi wowote. Niliumia sana,nikata kulipa kisasi kwa kutimiza matakwa ya mkewe,ila utu ulinijia,nikatanguliza Imani mbele,nikaendelea na yangu,leo karibia miaka 10 now bado yule dada ikitokea tumekutana hakosi kukumbushia upendo wake kwangu na zaidi anataka mtoto wa damu yangu,Kwakweli kuna baadh ya dada zetu hawathamini ndoa zao kabisa



duh ulimpa nini huyo?miaka 10 bado anahamu na ww ! mhhh!kizazi hiki kimechafuka sana!
 
Swali lako halina lengo, maana ukijibiwa ndio au hapana itakusaidia nini? hujaonyesha nia ya kumwacha, sasa ndugu mimi nakufahamu fika, kuna siku tumeshawasiliana kwa simu, mimi nitachunguza unapokaa nimjue huyo Dada, then nitachunguza anapokaa, halafu nitaaribu, haiwezekani kila siku mlete mada za kuonea watu waliiooa bila kuonyesha masikitiko au kuikataaa hiyo tabia.



hahahahahahhahaha unataka uharibu kwea niabaa! teh
 
Ndugu yangu hapa Tanzania tuna makabila takriban 120. Kama inawezekana acha kabisa unachokifanya.
Unachokiongea ni cha ukweli
Nilikuwa nasafiri naelekea Tanga.Gari nililopanda siti ya nyuma alikaa mkaka wa makamo akawa ana muhadithia kijana aliyekaa nae siti moja jinsi kijana wa jirani wanao heshimiana alivyowafumania na mkewe wakiwa kwenye kwichikwichi.
Ndo akaamua kufunga safari kwao Tanga kwa wazee kuuliza inakuwaje kijana amletee dharau.
Kitakacho mpata huyo kijana mimi na wewe hatujui.
 
Mambo,
Kwahiyo ilo chata alilolipata nje litaenda kulelewa na mumewe ndani ya ndoa? Muwe na huruma nyie
Mambo poa best.
Ndio hivyo best, ndio maana kuna wanaume huwa hawaruhusu kabisaaa mkewe awe na best friend wa kiume.
 
Mla vya wengine na vyake huliwa pia. Hata hivyo subiri mwenye mke siku akikukata hilo dushe lako ndo utapata akili mkichwa.

Penzi la mke wa mtu halijawahi kumwacha mtu salama.
 
Hahahaaaa!! Unaogopa kuchapiwa? Wengine huwa marafiki tu walaaaa hawanjunjani.


ngumu sana espy! yaan kama unajitambua achana kbs ww mke wa mtu na ubest na wanaume! mie nimefaulu hilo! yaan automatic atavutika tu na ww
 
ngumu sana espy! yaan kama unajitambua achana kbs ww mke wa mtu na ubest na wanaume! mie nimefaulu hilo! yaan automatic atavutika tu na ww
Wake za watu watakuwa wamekusikia.
Mabest friends huwa kama wana sumaku fulani hivi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom